Vicin
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 676
- 295
Habari za muda huu.
Bodi ya mikopo walitoa tamko kwamba hadi tarehe 10/10 watakuwa wamekwishatoa majina ya waliochaguliwa kupata mkopo. Siku chache zilizopita mama ndali alisema kuwa hadi katikati ya mwezi wa kumi watakuwa wamekwishatoa majina.
Ni ombi langu kwamba wangetoa majina mapema tujijue kama tumepata ama laa. Ili kama ni ada na gharama nyingine tuanze kujua tunajichangaje, maana ada na hosteli na chakula si chini ya millioni mbili, kwa usawa huu ni hela nyingi sana kuliko miaka mitatu iliyopita.
Pili, msituache kabisa basi angalau hata hela ya chakula mtusaidie. (0%).
Tatu, tulioomba mkopo tupeane updates, na pia tusisahau kujiombea na kuwaombea ambao bado hawajapata chuo.
Nakaribisha maoni zaidi, mawazo, michango na UPDATES......
================================
>>>>> TCU wametoa tangazo kwamba, hakikisha umethibitisha kuwa unaenda chuo flani kwa ambao walikuwa na multiple admission.
Usipothibitisha kuwa utaenda chuo flani, matokeo yake ni kwamba utakosa mkopo. Kwakuwa bodi ya mikopo itashindwa kujua unaenda chuo gani. Zaidi sana tuwe wavumilivu na wenye subira.
Kwa wale ambao wamepata mkopo, hongereni. Ambao hatujapata bado tusikate tamaa. Mungu yupo.
Tumwamini Yeye aliyetumwa na Yeye.