Bodi ya mikopo kuna nini?

Bodi ya mikopo kuna nini?

Nbajut

Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
15
Reaction score
4
Wanafunzi wa elimu ya juu wanaanza masomo jumatatu. Cha kushangaza bodi ya mikopo inaendelea kupitia maombi ya mikopo kwa waombaji wa mwaka wa kwanza wapatao elfu 12. Wengi wao wameshafika vyuoni, hawana ada na pesa za kujikimu na vyuo vinasema mwanafunzi hasajiliwi bila kulipa ada kuanza 60%. Je, ni kwa nini bodi ya mikopo haimalizi kazi yake kabla ya masomo kuanza?
 
Itamaliza vipi wakati ili lazima kusign kwanza ,na ilo zoezi linafanyika baada ya usajili,kwa kua zamani Pesa nyingi zilipotea,mtu anapata Mkopo anapotea ,au wanafunzi wengine waliopata Mkopo wasipokwenda kuanza basi Pesa inaliwa na wajanja ,vumilieni kuna wenzenu pia bado ata hawajapata vyuo na huo Mkopo wenyewe
 
Sasa kuna haja gani ya wanafunzi kufungua vyuo wakati status ya mkopo haijulikani.Nakumbuka Rais Magufuli alishawapiga marufuku kuhusu suala hili
 
Sasa kuna haja gani ya wanafunzi kufungua vyuo wakati status ya mkopo haijulikani.Nakumbuka Rais Magufuli alishawapiga marufuku kuhusu suala hili
Tatizo linaanzia TCU ,utaratibu wa saivi unaifanya bodi ya Mkopo kutoa majina kulingna na wanavyoyapata toka TCU ,sasa TCU round ya tatu sasa hivi na wao wakipewa lazima wakuchambue kwanza kama umetimiza vigezo
 
Back
Top Bottom