shemshashu
Member
- Jan 14, 2017
- 40
- 29
Naomba mnisaidie wadau hivi inawezekana aliyefika kiwango cha mwisho cha makato kwenye mshahara akaendelea kukatwa. Toa majibu ambayo una uhakika nayo.
Duh si mchezoKama umekopa bank au sehemu nyingine haiwazui board kukata hela yao, kuna jamaa alichukua mkopo kabla hajaaza kukatwa na board saizi anaisoma namba vilivyo na hili ongezeko ndio litakuwa shubiri kwake