Bodi ya mikopo hiyoooo

Bodi ya mikopo hiyoooo

thomas_360

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2015
Posts
1,458
Reaction score
1,436
BREAKING NEWS

BODI YA MIKOPO IMETANGAZA MAJINA YA WANAFUNZI FORM 6 NA DIPLOMA WALIOKOSEA KUJAZA FORM ZA MIKOPO 2016/2017

DEADLINE YA KUFANYA MASAHIHISHO NI TAR 7/10/2016

TAFADHALI TUMA KWENYE MAKUNDI YAKO 10 TU WAPATE TAARIFA HII MUHIMU

MASWAYETU BLOG,TUNAKUPENDA SANA

kuona majina hayo bonyeza hapo>>>>> www.jamiiforums.com/2016/10/mpyahaya-hapa-majina-ya-wanafunzi.html
 
Hayafunguki tusaidieni mtutumie kwenye pdf bas, daah mbona kila sehemu kunashida jaman, mfano wametoa na deadline wakat watu hawajui kama wamepata chuo au vip bora Yao ambao wameshapata majibu ya chuo, wamesema kama mtu hajasain anatakiwa kufika dar kwenye ofis zao, mfano mtu kakosea kujaza afu kaenda had dar na anaishi mikoani afu anarud mkoani anakuta hajapata chuo jaman Hawa nacte /tcu/heslb wajue cye watoto wa maskin hizo garama analipa Nani afu huku ma Ada yapo juu, wanataka wasome watoto wa matajir cye watoto wawakulima tutaisoma namba
 
Ingia olas.heslb.go.tz kila kitu utakikuta humo. Kama haitafunguka zaidi ujue web iko busy, watu ni wengi sana. Hivyo hakikisha unatumia kifaa chenye kasi kubwa sana...
 
Back
Top Bottom