Niliomba status yangu 2014 kuanza kulipa deni langu na nikapewa ni Tshs.12M mwezi huo huo nikaanza kulipa cha ajabu mwezi huu nimeenda kuomba status yangu "statement ya deni langu" deni limekuwa kwa Tshs. 2M wakati nishaanza kulipa toka mwaka 2014 nimejua kuwa nimemaliza
Nimeamba wanieleweshe wamekokotoa vipi wamebaki kunipiga chenga ***** zao
Sasa hapo umeibiwa nini, kutoka 12 hadi 2M si umejikomboa!!
Labda amemaanisha deni la 12M 2014 limeongezwa 2M so ni 14M
Oooh yeah, kwamba deni ‘limekuwa kwa 2M’... kama ni hivyo basi ni ajabu hii!!
Dawa ya deni kulipa,sio kupiga chenga.Hizo hela badala uziwekeze sehemu uwe na kitega uchumi chako unazirudisha kwa wanyang'anyi
Mi silipi hadi mwisho wa dunia, watu wanapiga mabililioni kiulaini kabisa kwenye miradi ya serikali, wacha tule woteHizo hela badala uziwekeze sehemu uwe na kitega uchumi chako unazirudisha kwa wanyang'anyi
Bodi ya mikopo sio makini katika kufatilia watu walio maliza chuo
Ili waweze kurejesha mikopo yao
Haiwezekani mpaka mtu ajipendekeze kwao ndo waanze kumkata.
Kalipe wewe kilazaDawa ya deni kulipa,sio kupiga chenga.
Wasiliana na office ya zonal ..Unafanyaje kuangalia status ya mikopo
Sio kwamba tunawafuata..ila kwa waajiri wengi kwa Sasa ukisign mkataba wa ajira lazima wapeleke jina lako bodi ya mikopo kuhakiki Kama una den au la..