de carter jr
Senior Member
- Aug 27, 2014
- 142
- 119
Hiyo ni fedha ya wanufaika wote kuanzia first year nakuendelea.kwa hesabu zangu za darasa la nne c ni kwamba hamna atakaekosa au nimeelewa vibaya,walioomba ni elf 91... na bajeti ni kwa watu laki na arobaini....
Wapo watakaokosa maana wamepmba watu zaidi ya 92000 then wanatakiwa watu 54000 wa kupewa mkopo.kwa hesabu zangu za darasa la nne c ni kwamba hamna atakaekosa au nimeelewa vibaya,walioomba ni elf 91... na bajeti ni kwa watu laki na arobaini....
Pagumu hapo kaka...!Hatari zaidi ya uhalisia wake...!Wapo watakaokosa maana wamepmba watu zaidi ya 92000 then wanatakiwa watu 54000 wa kupewa mkopo.
Ila hapa kuna ambao waliwahi kuomba mkopo na matokeo ya 6 yamekuja vibaya, wengine hawatopata vyuo, wengine..............
Wewe kila mwaka unaomba yu unasomea nn mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie bado sijakamilisha , kutuma .
That's right Kuna jamang aliwah mapema tu kuapply loan bahat mbaya kapata III-14 (DEE) Ila Hawa heslb next tym wanapaswa kufungua dirisha baada ya matokeo kutoka, Japo Kuna watu waliokosa mkopo mwaka uliopita na wao wanahaki ya kuomba Tena mwaka huu ila Walifanyie mabadiliko swala hili la kufungua dirisha baada ya matokeo!!!!!Wapo watakaokosa maana wamepmba watu zaidi ya 92000 then wanatakiwa watu 54000 wa kupewa mkopo.
Ila hapa kuna ambao waliwahi kuomba mkopo na matokeo ya 6 yamekuja vibaya, wengine hawatopata vyuo, wengine..............
Nimeona Uzi zake nying akiongelea maswala ya mkopo daaah sijui anasomeaga nn[emoji848][emoji848][emoji848]Pagumu hapo kaka...!Hatari zaidi ya uhalisia wake...!
That's right Kuna jamang aliwah mapema tu kuapply loan bahat mbaya kapata III-14 (DEE) Ila Hawa heslb next tym wanapaswa kufungua dirisha baada ya matokeo kutoka, Japo Kuna watu waliokosa mkopo mwaka uliopita na wao wanahaki ya kuomba Tena mwaka huu ila Walifanyie mabadiliko swala hili la kufungua dirisha baada ya matokeo!!!!!
#desert_lion
Kwa vigezo vya TCU kupata chuo Ni ngumu wanahitaj angalau (DD) but anaaply diploma na mkopo alishaomba[emoji24]Mkuu uyo apat chuo?
Unataka kufahamu course za watu zitakusaidia nn we mtoto wa kiume..!! Pambana na maisha yako, kwanza umesikia humu kuna-limit ya kupost nyuzi.. Acha mtu aandike nyuzi yoyote kwa jambo lolote analolifikiria kwanza inasaidia hata kwa watu wengine wasiofahamu jambo hilo. Kwanza huoni hats tofauti Mimi ni "Expert Member" we ni "Member" Tusichunguzane kadadadeqNimeona Uzi zake nying akiongelea maswala ya mkopo daaah sijui anasomeaga nn[emoji848][emoji848][emoji848]
Hajielewi huyu, ndo maana nimemchana live, ana tabia za kidadadada.Umeziona ngapi kwa mwaka huu...!Hacha ayo mambo bhana ya kushupaza shingo,wa kiume hatufanyi hivyo...!
Expert Member Unalipwa au[emoji848][emoji848] Vyeo vingine sio vya kujisifia kabisaa, Mimi Ni member mtiifu nipo humu toka 2016 ww wa 2017 unaanza kujiproud ata Kama una uexpert but chunga kauli zako huenda umepata uexpert kwa kupost na kucomment ujinga ujinga tu na hizo tabia za kidada unazo wewe kuingilia visivyokuhusu mi nilimwongelea Lexus SUV Kuna thread zake niliziona Humu JF last year akiongelea maswala ya mkopo na alisema anasoma UD hivyo alihitaji kujua jinsi anavyoweza pata mkopo japo wa mwaka mmoja that means huenda haikuwa bahati yake kupata mkopo wa heslb last year but now dirisha tayari limefungwa ila anasema yeye hajamaliza kuomba mkop Kama alivyocomment hapo juu [emoji24][emoji24][emoji24]Ndo Mana nikajiuliza labda anasoma koz gani hiyo ambayo huenda sio priority heslb coz hakuna ubaya wa kujua mtu anasomea Nini au kuuliza mtu anasomea nini JF Ni jukwaa huru Don't panic and think great mzee wa expert [emoji1787][emoji1787] usijisifu kuwa expert akat Ni low thinker wengine Ni undergraduator ikiwemo Mimi na tunaaply vyuo mwaka huu tungepaswa kujua kutoka kwake na Angepaswa anijibu yeye sio wewe shombe shombe dume Zima kujiita shombe [emoji849][emoji849][emoji23][emoji23] usinitaftie ban la mwaka mzima[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Pambana na Hali yakoUnataka kufahamu course za watu zitakusaidia nn we mtoto wa kiume..!! Pambana na maisha yako, kwanza umesikia humu kuna-limit ya kupost nyuzi.. Acha mtu aandike nyuzi yoyote kwa jambo lolote analolifikiria kwanza inasaidia hata kwa watu wengine wasiofahamu jambo hilo. Kwanza huoni hats tofauti Mimi ni "Expert Member" we ni "Member" Tusichunguzane kadadadeq
Think Great!!!Umeziona ngapi kwa mwaka huu...!Hacha ayo mambo bhana ya kushupaza shingo,wa kiume hatufanyi hivyo...!
Naunga mkono hoja jibu bora kabisa hiliExpert Member Unalipwa au[emoji848][emoji848] Vyeo vingine sio vya kujisifia kabisaa, Mimi Ni member mtiifu nipo humu toka 2016 ww wa 2017 unaanza kujiproud ata Kama una uexpert but chunga kauli zako huenda umepata uexpert kwa kupost na kucomment ujinga ujinga tu na hizo tabia za kidada unazo wewe kuingilia visivyokuhusu mi nilimwongelea Lexus SUV Kuna thread zake niliziona Humu JF last year akiongelea maswala ya mkopo na alisema anasoma UD hivyo alihitaji kujua jinsi anavyoweza pata mkopo japo wa mwaka mmoja that means huenda haikuwa bahati yake kupata mkopo wa heslb last year but now dirisha tayari limefungwa ila anasema yeye hajamaliza kuomba mkop Kama alivyocomment hapo juu [emoji24][emoji24][emoji24]Ndo Mana nikajiuliza labda anasoma koz gani hiyo ambayo huenda sio priority heslb coz hakuna ubaya wa kujua mtu anasomea Nini au kuuliza mtu anasomea nini JF Ni jukwaa huru Don't panic and think great mzee wa expert [emoji1787][emoji1787] usijisifu kuwa expert akat Ni low thinker wengine Ni undergraduator ikiwemo Mimi na tunaaply vyuo mwaka huu tungepaswa kujua kutoka kwake na Angepaswa anijibu yeye sio wewe shombe shombe dume Zima kujiita shombe [emoji849][emoji849][emoji23][emoji23] usinitaftie ban la mwaka mzima[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Pambana na Hali yako
Thanks bro [emoji120][emoji120][emoji120] God bless U na Asante kwa kuelewa Nia na Madhumuni yangu[emoji120]Naunga mkono hoja jibu bora kabisa hili
Nani unadhani ni mtoto mdogo hapa. Achana na mm wew kula mbeleeeExpert Member Unalipwa au[emoji848][emoji848] Vyeo vingine sio vya kujisifia kabisaa, Mimi Ni member mtiifu nipo humu toka 2016 ww wa 2017 unaanza kujiproud ata Kama una uexpert but chunga kauli zako huenda umepata uexpert kwa kupost na kucomment ujinga ujinga tu na hizo tabia za kidada unazo wewe kuingilia visivyokuhusu mi nilimwongelea Lexus SUV Kuna thread zake niliziona Humu JF last year akiongelea maswala ya mkopo na alisema anasoma UD hivyo alihitaji kujua jinsi anavyoweza pata mkopo japo wa mwaka mmoja that means huenda haikuwa bahati yake kupata mkopo wa heslb last year but now dirisha tayari limefungwa ila anasema yeye hajamaliza kuomba mkop Kama alivyocomment hapo juu [emoji24][emoji24][emoji24]Ndo Mana nikajiuliza labda anasoma koz gani hiyo ambayo huenda sio priority heslb coz hakuna ubaya wa kujua mtu anasomea Nini au kuuliza mtu anasomea nini JF Ni jukwaa huru Don't panic and think great mzee wa expert [emoji1787][emoji1787] usijisifu kuwa expert akat Ni low thinker wengine Ni undergraduator ikiwemo Mimi na tunaaply vyuo mwaka huu tungepaswa kujua kutoka kwake na Angepaswa anijibu yeye sio wewe shombe shombe dume Zima kujiita shombe [emoji849][emoji849][emoji23][emoji23] usinitaftie ban la mwaka mzima[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Pambana na Hali yako