Bodi ya Mikopo (HESLB) wanasemaje kuhusu huu utata?

Dogo langu hawajamsponsor chochote kwenye mkopo na ana mkopo wa asilimia 50 ni continues since last year...

Lakini batch ya kwanza ya boom ameongezewa hela ya stationary na field

Hatuelwi hiyo ada helsb ndo wameikimbia au ni sytem imeshake ..tuwe wapole j3 mbivu na mbichi zitajulikana
 
hivi amsikilizi muziki nyie wasanii wanaimba mikopo elimu ya juu inatoka kwa wakati, wanafunzi hawandamani kama zamani sasa haya matatizo umeyatoa wapi
 
Back
Top Bottom