Bodi ya mkopo inapokea maombi ya mkopo baada tu ya mitihani ya kidato cha sita kumalizika na wanatoa info baaada ya wiki kadhaa na sio baada ya matokeo ya mtihani kutoka tusipotoshane na mwisho wa kuapply ni june 31 nimejaribu kutuma pesa kwenye mpesa ya malipo yao lakini kuna stage moja kabla ya ile ya kuandika namba zako za mtihani inagoma .inaandika utility numbeR is wrong nahisi kuna tatizo bado linashughulikiwa.