Wamefaulu?Bodi ya mikopo (Heslb) mpaka sasa hawajatoa fomu au maelekezo kwa wahitimu kidato cha sita 2016 na watu wengne wenye uhitaji wa ufadhiri wa
masomo kwa mwaka wa masomo 2016/17 tofaut na ilivyozoeleka
Wapo vijana waliochaguliwa kujiunga na jeshi la kujenga Taifa jkt na wanapaswa kuripoti kuanzia tarehe 1-5 mwezi ujao yaani siku 8 mbeleni lakini mpaka sasa hawajajua hatma yao na Bodi ipo kimya mpaka sasa bila tamko lolote wala tangazo lolote
Je kuna utaratibu gan au kizungumkuti gani hadi mpaka sasa bodi ambayo imeanzishwa kisheria na bunge kwa ajili ya kusaidia watu wenye uhitaji ufadhiri wa serikali ili kutimiza malengo yao kuwa kimya
Je wanafunzi ambao wamechaguliwa na mafunzo ya jkt ni vp watapata muda wa kushughulika na mikopo hii kwa hz siku nane walizonazo mtaani
Tafadhari wahusika liangalieni hili maana ukimya wa bodi hauna tafsri inayoelezeka
Lakini utaratibu huwa mara baada ya kumaliza mitihani yao bodi huanza kupokea maombi but mwaka huu imekua tofaut na ukimya umezidiWamefaulu?
That could have been a wrong approach. Logically Form za mkopo zitolewe sambamba na ku apply TCU baada ya matokeo. Otherwise loan board watajikuta wanapokea lukuki ya watu walio pata 0 na 4. May be they are trying to avoid thatLakini utaratibu huwa mara baada ya kumaliza mitihani yao bodi huanza kupokea maombi but mwaka huu imekua tofaut na ukimya umezidi
Sio wote wanaohitaji kutuma maombi ya mkopo ni 'fresh from school'That could have been a wrong approach. Logically Form za mkopo zitolewe sambamba na ku apply TCU baada ya matokeo. Otherwise loan board watajikuta wanapokea lukuki ya watu walio pata 0 na 4. May be they are trying to avoid that
Hata fresh from school anatakiwa afaulu mitihani yake. Unaombaje mkopo huku hujui umefaulu au umefeli. Recently ujazaji wa form za mikopo hufanyika baada ya matokeoSio wote wanaohitaji kutuma maombi ya mkopo ni 'fresh from school'
but kwanini hata taarifa hawatoi kwamb utaratibu umechangeHata fresh from school anatakiwa afaulu mitihani yake. Unaombaje mkopo huku hujui umefaulu au umefeli. Recently ujazaji wa form za mikopo hufanyika baada ya matokeo
Huo nilokueleza ndo utaratibu unaojulikana.. Huu wa kwako ndo mpyabut kwanini hata taarifa hawatoi kwamb utaratibu umechange
umeelewa nilicho kizungumza?Hata fresh from school anatakiwa afaulu mitihani yake. Unaombaje mkopo huku hujui umefaulu au umefeli. Recently ujazaji wa form za mikopo hufanyika baada ya matokeo
Somebody from bodi ya mikopo should come up with a ststement on this