Bodi ya Mikopo (HESLB) imeanza rasmi kukata 15% kwenye mshahara

yoga

JF-Expert Member
Jan 6, 2013
1,820
8,498
Hahahah, nacheka kama mazuri!!! nipo ofisini hapa nduguzangu waalimu wanauliza nini kimetokea!!! Maana NMB mobile imewachanganya kweli kweli!!!

Loan Bord wametimiza makato yao ya 15% kwa salary ya mwez huu, yaani ukiangalia mishahara iliyo baki ya hawa ndugu zangu hapa kweli watu wataishi kama mashetani!!!

Hahah poleni sana jamni!! nlisha washauri mjiajili TU!!! Maaana mnamikopo mingine mingi mnooo!!! Mpka kuwakata tunawaonea huruma!!!
 
Haya twende 1, 2, 3, 4,......
6081a5ff692431c3add048365c2cd499.jpg
 
Ama upo halmashauri idara ya rasilimali watu au upo NMB vyovyote iwavyo siyo vyema kuicheka hali ngumu ya mwenzako.
Jamani mi sicheki , MTU wangu!!! Nimetoa taarifa TU, sorry lakini !!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom