Bensonlukwambe
Senior Member
- May 7, 2013
- 110
- 23
Nime apply mkopo HESLB kwa kufuata procedure zote , lakini kuna option moja ya ku print filled forms ndo inanichanganya , ina maana baada ya ku apply online kuna hard copy zinahitajika tena na kama zinahitajika ni tunazipeleka wapi na procedure gani za kufanya kabla ya kuzipeleka.
cha pili niki click hiyo option inaniambia ni log in wakati nilikua nimesha log in na hata niki log in tena hakuna kinachofanyika.. help please especially with the process to follow after applying online.