Bodi ya mikopo hawajibu E-mail wala kupokea simu

Bodi ya mikopo hawajibu E-mail wala kupokea simu

willy ze great

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,083
Reaction score
1,326
Jamani hii bodi mimi sielewi kwanini hawajibu email zetu na hata ukipiga simu hawapokei, nini tatizo au nitumie nauli 70,000 niende Dar. Magufuli komesha hii kero.
 
jaman hii bodi mi sielewi kwanini hawajibu email zetu na hata ukipiga simu hawapokei nini tatizo au nitumie nauli 70000 niende dar . Magufuli komesha hii kero

Kuna dogo kakosea kutuma pesa hapa ameacha ile S basi ni shida tupu, hawana 24hrs simu za kuwahudumia wateja wao wakati maombi watu wanaomba 24hrs. ni matatizo matupu
 
wanasubiri tukosee kutuma maombi ili watunyime mkopo watoto wa maskini
 
Jamani hii bodi mimi sielewi kwanini hawajibu email zetu na hata ukipiga simu hawapokei, nini tatizo au nitumie nauli 70,000 niende Dar. Magufuli komesha hii kero.
mkuu heslb wana viburi sana ndugu we chamsingi we nenda mwenyewe kwa mguu hadi ofisi zao na uwakomalie kweli wenzio tulitoka huko.
 
Back
Top Bottom