Tusaidiane kupeana taarifa maana nimeona wametangaza wanufaika wa mkopo round ya kwanza
Mbona naangalia majina sioni??
Au yanapatikana wapi?
Na kama hawajatoa Basi mwenye taarifa wanatoa lini?