Mpatuka JF-Expert Member Joined Nov 15, 2015 Posts 2,333 Reaction score 3,714 May 28, 2025 #1 Habari wanajukwaa, Naomba kuuliza kwa anayefahamu kama bodi ya mikopo inatoa mkopo kwa wanafunzi wa shahada ya udhamili(postgraduate students)?
Habari wanajukwaa, Naomba kuuliza kwa anayefahamu kama bodi ya mikopo inatoa mkopo kwa wanafunzi wa shahada ya udhamili(postgraduate students)?
Mpatuka JF-Expert Member Joined Nov 15, 2015 Posts 2,333 Reaction score 3,714 May 28, 2025 Thread starter #2 Jamani hebu mnisaidie uzoefu wenu katika hili?
dogman360 Senior Member Joined Oct 15, 2018 Posts 195 Reaction score 313 May 28, 2025 #3 Mpatuka said: Jamani hebu mnisaidie uzoefu wenu katika hili? Click to expand... Wanatoa kwa watumishi tu
Mpatuka said: Jamani hebu mnisaidie uzoefu wenu katika hili? Click to expand... Wanatoa kwa watumishi tu
L Leele Member Joined May 11, 2020 Posts 43 Reaction score 21 May 28, 2025 #4 dogman360 said: Wanatoa kwa watumishi tu Click to expand... Nisaidie kujua wanatoa pia na kwa wanaosoma nje ya nchi hasa kwa Africa mashariki?
dogman360 said: Wanatoa kwa watumishi tu Click to expand... Nisaidie kujua wanatoa pia na kwa wanaosoma nje ya nchi hasa kwa Africa mashariki?
dogman360 Senior Member Joined Oct 15, 2018 Posts 195 Reaction score 313 May 29, 2025 #5 Leele said: Nisaidie kujua wanatoa pia na kwa wanaosoma nje ya nchi hasa kwa Africa mashariki? Click to expand... Hio sijajua ndugu yangu checki Mastercard foundation wanatoa scholarship ndani ya baadhi ya vyuo hapa EA
Leele said: Nisaidie kujua wanatoa pia na kwa wanaosoma nje ya nchi hasa kwa Africa mashariki? Click to expand... Hio sijajua ndugu yangu checki Mastercard foundation wanatoa scholarship ndani ya baadhi ya vyuo hapa EA
Mpatuka JF-Expert Member Joined Nov 15, 2015 Posts 2,333 Reaction score 3,714 May 29, 2025 Thread starter #6 Mpatuka said: Jamani hebu mnisaidie uzoefu wenu katika hili? Click to expand... Basi ngoja niombe
solow swan Member Joined Jul 18, 2023 Posts 31 Reaction score 37 May 31, 2025 #7 Mpatuka said: Habari wanajukwaa, Naomba kuuliza kwa anayefahamu kama bodi ya mikopo inatoa mkopo kwa wanafunzi wa shahada ya udhamili(postgraduate students)? Click to expand... Nenda kwenye website ya search guidelines for postgraduate students vigezo vya kupata mkopo ipo
Mpatuka said: Habari wanajukwaa, Naomba kuuliza kwa anayefahamu kama bodi ya mikopo inatoa mkopo kwa wanafunzi wa shahada ya udhamili(postgraduate students)? Click to expand... Nenda kwenye website ya search guidelines for postgraduate students vigezo vya kupata mkopo ipo