Bodi ya Ligi, nauliza tu

Bodi ya Ligi, nauliza tu

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
Hivi kanuni yaligi kuu inapobadilishwa si inapaswa vilabu vyote kutaarifiwa kwa barua?

Kama hamkufanya hivyo basi ligi inaendeshwa kienyeji!

Alafu nauliza tena huu utatatibu wa viongozi wa virabu kuwa viongozi wa kamati zako huoni kama unaleta mkanganyiko na vurugu hapo tff mfano nina wasiwasi kiongozi wa simba aliemuombea hajib kuahilisha adhabu ndo huyo huyo alejibu barua kutoka tff au kitu kinachofanana na hicho.

Nikivuta picha ya matukio ya nyuma ikiwemo kuvilazimisha vilabu kukatwa makato visivyo halali naona TFF inaendeshwa kibabe na kiholela.
 
Japo Ni Mtani Wangu ILA Sijaona Kiongozi Hopeless Na Failure Ktk Michezo Duniani Kote Kama Huyu. Anawatia Mno Aibu Wahaya Wenzie!
Muhaya na mambo ya mpira wa miguu wapi na wapi!!!!!!
Huyu jamaa ataweka rekodi ya kuharibu pale tff....
 
Wanabadilishia kanuni vyumbani mwao then wengine mtazisikia redion,this is bullshit kabisa
 
Alikuja kwa mkwara na makelele meeeengi kumbe ni walewale...baati mbaya watz wepesi kusahau huyu jamaa alikuwepo yanga akavurunda pale alafu wabongo wakatarajia mapya kutoka kwake,rage naye aliharisha sana pale tff(fat) simba wakampa ushindi wa kishindo matokeo ake wanayajua,wambura naye kayajaza pale tff(fat) lkn kuna wajinga wanapigania aongoze simba...hivo hivo kwa rowasa nk nk
 
Huo utaratibu wa kadi za njano ulikuwa haujapitishwa rasmi,kama ungekuwa umepitishwa virabu vingetaarifiwa kwa barua
 
Soka la Bongo twende nalo tu Yahoo, utaumiza kichwa bure

Mwenye mandate, compositions and funtions za Bodi ya Ligi atuwekee hapa
 
soka la bongo twende nalo tu Yahoo, utaumiza kichwa bure

Kila nikijaribu kuupenda mpira wa bongo nakutana na vikwazo.. labda tuajiri viongozi nje ya nchi inaweza kusaidia.
 
Basi watanzania tulivyo watu wa ajabu siku akigombea ubunge atapewa kura nyingi za ndio huyu Muhaya...
 
Mkuu Jamal Malinzi upo hapa jamvini hebu tuweke sawa hili...maana hiyo vurugu kwenye TFF sasa imekuwa too much sijui kama tutafika!!!! kwa mara ya kwanza tutashuhudia kiongozi TFF akiongoza kipindi kimoja tu tena kwa kuvurunda hata FAT ya Ndoranga ina afadhali.:A S embarassed::A S embarassed::shocked::shocked:
 
Last edited by a moderator:
Hivi kanuni yaligi kuu inapobadilishwa si inapaswa vilabu vyote kutaarifiwa kwa barua?

Kama hamkufanya hivyo basi ligi inaendeshwa kienyeji!

Alafu nauliza tena huu utatatibu wa viongozi wa virabu kuwa viongozi wa kamati zako huoni kama unaleta mkanganyiko na vurugu hapo tff mfano nina wasiwasi kiongozi wa simba aliemuombea hajib kuahilisha adhabu ndo huyo huyo alejibu barua kutoka tff au kitu kinachofanana na hicho.

Nikivuta picha ya matukio ya nyuma ikiwemo kuvilazimisha vilabu kukatwa makato visivyo halali naona TFF inaendeshwa kibabe na kiholela.

Uzi wa kadi 5 za njano umekwama, umeona uparamie mti mwingine ujaribu upepo.
 
Hivi kanuni yaligi kuu inapobadilishwa si inapaswa vilabu vyote kutaarifiwa kwa barua?

Kama hamkufanya hivyo basi ligi inaendeshwa kienyeji!

Alafu nauliza tena huu utatatibu wa viongozi wa virabu kuwa viongozi wa kamati zako huoni kama unaleta mkanganyiko na vurugu hapo tff mfano nina wasiwasi kiongozi wa simba aliemuombea hajib kuahilisha adhabu ndo huyo huyo alejibu barua kutoka tff au kitu kinachofanana na hicho.

Nikivuta picha ya matukio ya nyuma ikiwemo kuvilazimisha vilabu kukatwa makato visivyo halali naona TFF inaendeshwa kibabe na kiholela.

Soma alichosema msemaji wa TFF Baraka Kizuguto ambaye kabla ya kwenda TFF alikuwa ni msemaji wenu wa Yanga.

Kizuguto said:
Hata hivyo, Osifa Habari wa TFF, Baraka Kizuguto, aliliambia NIPASHE jana kuwa kanuni mpya ambazo klabu zinadai hazijazifikia, zilipitishwa na Kamati ya Utendaji ya TFF Februari 8, mwaka huu.

"Kamati ya Utendaji ya TFF inayo mamlaka ya kuongeza ama kupunguza kanuni za uendeshaji wa ligi. Kama kuna klabu hazijapata marekebisho ya kanuni, ziwasiliane na TFF na si kukimbilia katika vyombo vya habari," alisema Kizuguto, huku akiwataka waandishi wa habari 'kuhudhuria bila kukosa' kwenye ofisi za shirikisho hilo leo saa 5:00 asubuhi kupata ufafanuzi wa kina kuhusu suala hilo na mambo mengine ya soka.
 
Back
Top Bottom