Bodi ya Ithibati iangaze pia Kwa madalali

Bodi ya Ithibati iangaze pia Kwa madalali

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,331
Reaction score
4,239
Hii bodi isiishie tu kwa wana habari na waandishi iangazie pia kwenye udalali.

Kuna madalali wengi Sana ni Uchwara. Mbona wameweza kudhibiti watu wa auction hadi wawe wamesomea Sheria?

N'yadikwa
 
Una akili timamu kweli? Au hujaenda shule? Hiyo ni bodi ya ithibati ya waandishi wa habari tu, haihusiani na mambo mengine yasiyo ya uandishi wa habari. Ungesema ianzishwe bodi ya madalali ishughulike na wadau hao hapo ungeeleweka
 
Dah nilikosea nasikujua. Mimi ndie wa kulaumiwa kwasababu sikumshirikisha nilipoposti kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS aliyeuwawa kikatili kuutetea kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.

Screenshot_2025-07-24-20-35-01-74_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg
 
Najua unaichokoza hiyo bodi kituko! Sasa watajua hajui kuwa taaluma ya habari si ya kuwa na bodi kama ile, wamekurupuka kwa kuiga bodi zingine kama bodi ya wanasanifu wa majengo, bodi pamba, pareto, tumbaku na upuuzi mwingine mwingi. Kwa ujinga huu tusishangae kukaanzishwa bodi zingine za ajabu ajabu mradi tu kuzidhibiti vipaji na akili za watu, upuuzi mtupu!
 
Eti bodi ya ligi, bodi ya ithibati ya waandishi wa habari, tusishangae zikaja bodi zingine za kipuuzi zikaanzishwa. Walitaka kuanzisha bodi ya walimu sijui mpango huo uliishia wapi? Bodi ya filamu ipo, wanamuziki kaeni chonjo mtaanzishiwa bodi yenu, sijui watataka sifa gani huko kwenye muziki ili usajiliwe. Sasa ni mwendo wa bodi tu, tutabodika mpaka tukome
 
Kuna bodi ya sukari, bodi ya maziwa na bodi ya nyama.
 
Umelala uwoooo umelala uwoooo
Umelala uwooo mtarimbo umelala doro!
 
Back
Top Bottom