Nina jazba sana kutokana na dharau zinazooneshwa wazi wazi katika fani ya computer science na IT nafikiri umefika mda sasa na hizi fani kue na standards zinazoelekeza viwango na utaalam na kusimamia kazi zote za IT/Computer science katika organizations!!!!!!! Ndio maana mnashuhudia website zenye interface MBOVU,hakuna standard maalumu inayosimamia hivi,pia mishahara ya watu wa IT mi BOVU,na wengi wanaishia kufanya kazi za kuinstall EFD huku wachache wakifaidika!!!!!!!!!!! na mengine mengi mabovu mnayaona,mnayasikia ! kama bodi hii ipo naomba nijulishwe,kama haipo hili jopo la wataalamu linasubiri nini the world changes very fast.πound: Nawasilisha hoja.
Ishu ni kuwa makampuni mengi ya IT Tanzania ni ya wababahishaji! Awataki employ watu wawalipe vizuri matokea yake wanachukua vijana wa F4 wanawafanya mafundi bila kuwa na ujuzi wa kazi,mfano hizo EFD za TRA mafundi wengi awana ata diploma za IT.hii ipo ata ktk makampuni karibuni yote ya Wahindi apa Tanzania

https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=2046874nadhani inabidi ufuatilie, ni tatizo la dunia nzima. IT industry haina standards ambazo zinafutwa, au ethics, ndio mana still kuna debate kama whether IT ni profession au sio?
@mtazamaji mkuu 5 stars!-sisi waTZ wengi tunalalamika eti hatuajiriwi na wakati mtu ameshabomoa mabanda hadi master na kuajiria watu wa mitaa-mimi naunga mkono wanaoajiri wana mitaa waliobobea na katika vitenda vya it na kuwaacha wenye magamba na mathiori vichwani.bodi ya kusimamia IT ni muhimu na italeta mabadiliko-kwani kwa wenzetu ilete na kwetu ishindwe.
https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=2046874
Redsilverdog are you serious kuwa hakuna standard.? Mi nadhni Standard zipo sema zinaaa zinabadilka. its just not like Law or accounts or Medicine.
Mfano Kuna standars nyingi tu kama
- Web- kuna standard na specificatin za Acesscibility , usability, Security, HTML CSS etc refer to WCAG Overview
- Network- Zipo standard za OSI , Protocol, Security, Error corection and dtection , etc
- Database- kuna standard kama ACID refer to ACID - Wikipedia, the free encyclopedia
So standars zipo sema kwenye taaasisi nyingi kama bongo hakuna specifiic policy watumie Standard gani?
Challegeya IT ni kuwa standard eg ya web development iliyotumika mwaka 1990 inaweza kuwa haikubaliki sasa. Lakini kwenye accounts au medicine au law standads za mwaka hata 1970 bado ziko applicable hadi leo.
Lakini nani yupo kuensure zinafuatwa. jaribu kuvalidate website kubwa kubwa ku2mia HTML validator halafu angalia ngapi zitapasi bila kuwa na errors. Standards kila mtu anazake haijulikani exactly zipi ifuatwe, there is no agreement onw which standard to follow. Wangapi wanafuata ethics za IT? Counter terrorism? iphone advertising scheme?
Hakutakiwi kuwa na kitu kama hicho, kila organization inabidi wafanye quality control na kupanga requirements yao wenyewe hatutaki bodi itupangie kipi ni sahihi na kipi sio sahihi. Kama serikali inataka kuweka standards kwa ajili ya serikali hiyo sawa.
Mkuu Bodi hiyo haipo!! Ila serikali nasikia ilikuwa na mpango wa kuanzisha kijiji cha wanasayansi!!!.