Bodaboda wanakera sana

Bodaboda wanakera sana

Mukuu123

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2019
Posts
319
Reaction score
1,226
Yani mtu uko zako kitaani unapiga karibu na kituo cha Bodaboda mara wanaanza kupiga horn, mwingine ukimwangalia tu tayari ashawasha chombo anakufuata.

Sasa leo nilikuwa nimevurugwa mno sasa niko mitaa ya Tabata bima naona mtu ananipigia horn mno nilichokifanya aisee ni hatari sana Kwa yule bwana mdogo!
 
Yani mtu uko zako kitaani unapiga karibu na kituo cha BODA BODA mara wanaanza kupiga horn ,mwingine ukimwangalia tuu tayari ashawasha chombo anakufuata,sasa leo nilikua nimevurugwa mnoo sasa niko mitaa ya tabata bima naona mtu ananipigia horn mnoo nilichokifanya aisee ni hatari sana Kwa yule bwana mdogo!
Sisi wenye 'neema za Allah' ndio tunapata tabu sana jamani.

Bodaboda kama mnanisikia, tunawaomba mtuache jamani.
 
Yani mtu uko zako kitaani unapiga karibu na kituo cha BODA BODA mara wanaanza kupiga horn ,mwingine ukimwangalia tuu tayari ashawasha chombo anakufuata,sasa leo nilikua nimevurugwa mnoo sasa niko mitaa ya tabata bima naona mtu ananipigia horn mnoo nilichokifanya aisee ni hatari sana Kwa yule bwana mdogo!
Sema tu hivi wewe hauna bodaboda tuelewe sio unaandika wanakukera.
Binafsi nilijua ni mkasa.
 
Yani mtu uko zako kitaani unapiga karibu na kituo cha BODA BODA mara wanaanza kupiga horn ,mwingine ukimwangalia tuu tayari ashawasha chombo anakufuata,sasa leo nilikua nimevurugwa mnoo sasa niko mitaa ya tabata bima naona mtu ananipigia horn mnoo nilichokifanya aisee ni hatari sana Kwa yule bwana mdogo!
We ukivurugwa wao wamevurugwa zaidi yako bila hivyo watalala njaa
 
Hapa kimara mwisho njia ya kwenda bonyokwa yaan boda boda zina park barabarn yaan magari kupishana sometimes ni kero, watembea kwa miguu ndio wanapata sana tabu maana bodaboda wamekaba njia nzimaaa

Serikali inabidi iwatengee hawa jamaa stendi zao
 
Ndiyo kazi,usipochangamka hawezi kupata abiria,kwani unalazimishwa kupanda?
 
imebidi nicheke tatizo bodaboda zimekuwa nyingi na abiria wachache, na wakiona tu mtu anakuja sehemu wote wanamkimbilia, inakuwa kero
 
Back
Top Bottom