Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Mtupumzishe sasa inatosha ..sura ile kama avatar yako..!Walimu wengi, hasa wa kwenye shule zilizopo mijini wanamiliki bodaboda , hivyo usiku wanakesha kuongeza kipato Kwa kupakia abiria.
Mchana wanapiga vipindi, usiku wanatega na kutupakia sana.
Hii ni nzuri maana wanajiongeza ili kujikwamua kiuchumi.
Bodaboda wa usiku ni Walimu wanaotufundishia watoto wetu, tuwaheshimu sana.
Itakuwa maticha walikula ndogo Yako,siyo Kwa povu hiloHii ni hatari, kazi za usiku tena za bodaboda tunajua Matokeo yake wengi wanabakwa na kuuawa kabisa. Walimu ni waajabu sana hawana creativity yoyote Ile kila biashara nizakishamba na kitahila, wangejielewa wadai haki zao za posho, posho Kwa mtumishi wa umma ni lazima kwnn mwalimu hapati allowance ya maladhi na chakula kama wengine? Kwann Hana vikao vya Mara Kwa Mara kama madaktar?, kwann hawalipwi per diem na overtime kama wengine?, walimu wanaishi kama wapo kuzimu mpaka inawalazim wafanye kazi usiku kama vibaka
Walimu walimu walimu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kwa hiyo unataka nini?Walimu wengi, hasa wa kwenye shule zilizopo mijini wanamiliki bodaboda , hivyo usiku wanakesha kuongeza kipato Kwa kupakia abiria.
Mchana wanapiga vipindi, usiku wanatega na kutupakia sana.
Hii ni nzuri maana wanajiongeza ili kujikwamua kiuchumi.
Bodaboda wa usiku ni Walimu wanaotufundishia watoto wetu, tuwaheshimu sana.
KweliWalimu wengi, hasa wa kwenye shule zilizopo mijini wanamiliki bodaboda , hivyo usiku wanakesha kuongeza kipato Kwa kupakia abiria.
Mchana wanapiga vipindi, usiku wanatega na kutupakia sana.
Hii ni nzuri maana wanajiongeza ili kujikwamua kiuchumi.
Bodaboda wa usiku ni Walimu wanaotufundishia watoto wetu, tuwaheshimu sana.
Nilikuwa naisubili comment yako hapa, ila angalau kidogo umepunguza ukaliHii ni hatari, kazi za usiku tena za bodaboda tunajua Matokeo yake wengi wanabakwa na kuuawa kabisa. Walimu ni waajabu sana hawana creativity yoyote Ile kila biashara nizakishamba na kitahila, wangejielewa wadai haki zao za posho, posho Kwa mtumishi wa umma ni lazima kwnn mwalimu hapati allowance ya maladhi na chakula kama wengine? Kwann Hana vikao vya Mara Kwa Mara kama madaktar?, kwann hawalipwi per diem na overtime kama wengine?, walimu wanaishi kama wapo kuzimu mpaka inawalazim wafanye kazi usiku kama vibaka
Walimu walimu walimu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Bora tutembee kwenye week ya ualimuLengo la Uzi ni kuwasimanga walimu
Siku ya pili wanaishia kulamba fimbo watoto maana hawakuwa na muda wa kuandaa masomoWalimu wengi, hasa wa kwenye shule zilizopo mijini wanamiliki bodaboda , hivyo usiku wanakesha kuongeza kipato Kwa kupakia abiria.
Mpwayungu village pengine yumo kwenye kumi bora za members wanaotaniwa sana JF[emoji44]Nikajua muanzisha uzi ni mpwayungu village
Hii ni hatari, kazi za usiku tena za bodaboda tunajua Matokeo yake wengi wanabakwa na kuuawa kabisa. Walimu ni waajabu sana hawana creativity yoyote Ile kila biashara nizakishamba na kitahila, wangejielewa wadai haki zao za posho, posho Kwa mtumishi wa umma ni lazima kwnn mwalimu hapati allowance ya maladhi na chakula kama wengine? Kwann Hana vikao vya Mara Kwa Mara kama madaktar?, kwann hawalipwi per diem na overtime kama wengine?, walimu wanaishi kama wapo kuzimu mpaka inawalazim wafanye kazi usiku kama vibaka
Walimu walimu walimu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Toka lini huyu Tulia ameacha Uwenyekiti wa Bunge amekuwa mtendaji wa kata!?Tulia mtendaji wa kata