Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 17,551
- 28,511
Hawana helmet!
Wanajipenyeza katikati ya matairi!
Mtu hajihurumii, kwa nini nimhurumie?
Bodaboda ni balaa la mjini, siwahurumii hata kidogo.Nawe inatakiwa ujihurumie kwa maana kuna siku watakugonga pamoja na gari lako wakutoe uhai au wakutie ulemavu.