Dah pole sana, abiria pia tunachangia kama mdau hapa unasema akimbie lazima akukimbize, ila naonaga ni kama hawa vijana hawamejitoa ufahamu, unawezaje kukatisha kwenye eneo hatari hivyo bila kuangalia pembeni yakoJuzi nilikua nawahisha mzigo flani uende mkoani, kutokoea k.koo,
Kuulizia Konda akaniambia ndio tunatoka ubungo, ikabidi nichukue boda niiwahi Basi mwenge,
Sipendagi kuharakisha hawa watu ila sikua na jinsi wakati anaufunga ule mzigo nikamwambi Uharakishe tuna mda mfupi sanaa gari inapita,
Sijapata ona aisee, Ile boda ilipigwa mguu, Tunafika Junction pale mwenge hata hakuangalia, ye kaona Gap pale kati kavuka,
Tulipishana na Semi Ubavu kwa ubavu,
Ninaposema hivi namaanisha Shati langu lilichafuliwa kabisa na bodi ya ile semi, na mzigo ukapigwa push kdg.
Mimi niliamini tayari, maana yenyewe ilikua inakata kona na sisi tunanyooka, kufuata zile tairi 6 za nyuma, kushtuka tushavuka, Na basi hio hapo, konda ndio akafungua mzigo kwenye boda mana jamaa naye kapata wenge kakaa kwenye kadaraja ka mbao Kwenye mtaro kainama kashika kichwa,
Ana zinduka tuu ananiuliza
"Tunarudi k.koo"?
Nikamwambia Baba rudi tu mwenyewe.
Kabla hajakatisha danger everything looks shwaaaari. Ndiyo maana unaambiwa: Stop!Dah pole sana, abiria pia tunachangia kama mdau hapa unasema akimbie lazima akukimbize, ila naonaga ni kama hawa vijana hawamejitoa ufahamu, unawezaje kukatisha kwenye eneo hatari hivyo bila kuangalia pembeni yako
Ukiwa na familia inabidi uwe makini zaidi ili baada ya kazi urudi kwako ukiwa na chochote vivyo hivyo kwa ajili ya abiria wako.Elimu zaidi inahitajika kutolewa kwa hao bodaboda maana imeajiri wengi na watu wanalea familia zao kupitia bodaboda wakiaacha watafanya shughuli gani? Au warudi kuwa wezi?
Aiseee! Got itUkiwa na familia inabidi uwe makini zaidi ili baada ya kazi urudi kwako ukiwa na chochote vivyo hivyo kwa ajili ya abiria wako.
Lkn boda boda wanavyoendesha na kuenenda barabarani utadhani wote hawana familia na hawajali maisha yao, ya wateja wao au hata ya watumiaji wengine wa barabara. Wanaendesha km watu ambao wanatamani kifo kiwapate au watu ambao hawajali km kifo kitatokea au haiktatokea.
Kitu wanachojidanganya niDah pole sana, abiria pia tunachangia kama mdau hapa unasema akimbie lazima akukimbize, ila naonaga ni kama hawa vijana hawamejitoa ufahamu, unawezaje kukatisha kwenye eneo hatari hivyo bila kuangalia pembeni yako
Ni sawa kabisa Mkuu. Lakini! Daaa!! Hizo mbio bwana ni balaa! Kama ulivyosema, asilimia 99 ya waendesha bodaboda ni vijana. Tatizo si sheria za barabarani, ni "ujana"Acha kuharibia biashara za vijana wanaojiajiri. Ajali husababishwa na kutozingatia sheria na alama za barabarani. Waache vijana wajiajiri
Mbona gari imekuwa nyang'anyang'a wakati pikipiki imeumia kidogo?Ni kweli kifo sehemu yeyote ila hapa kipo jirani zaidiView attachment 1661999
Ewe mama/ baba unaempakia mwanao au wanao wawili kwenye boda boda kupelekwa shule acha ufala, upumbavu na uvivu. Boda boda ni kifo!
Ewe mdada wa chuo unaependa urembo wako na uzuri wako, boda boda ni kifo.
Ewe boda boda tafuta kazi ya nyingine ya kufanya achana na huo upumbavu wa boda boda!
Hujawahi kuchelewa wewe?Asiyesikia hata la mkuu, asubiri boda imvunje kichwa kabisa.
Unatakiwa uulizie kama mwili wake ulipatikana 😂😂DAAH YANI BODABODA NDO IMEIFANYA NAMNA HII HII NISSAN SAFARI???DUU ALIPONA KWELI HUYO MWENYE PIKIPIKI?
Mmmh Boda boda jamani, wakifuatiwa na ndugu zetu bajaji Mungu awasaidie sana
Uchumu lazima ugawanyike mjomba kama ni hivyo shughuli nyingine zifungwe pia wote tukalime.Mbona kilimo kinalipa sana,wende kwenye kilimo.Ukilima mahindi,pilipili,nyanya,Bamia,bogaboga.Biashara za kuuza nyanya,mbogamboga,malimau,machungwa,mananasi,maembe nk,inalipa vizuri tu,huku una shamba,umepanda mazao mbalimbali.
Wapo boda boda ninawafahamu hawana historia ya ajali tangu waanze kazi zao.Ukiwa na familia inabidi uwe makini zaidi ili baada ya kazi urudi kwako ukiwa na chochote vivyo hivyo kwa ajili ya abiria wako.
Lkn boda boda wanavyoendesha na kuenenda barabarani utadhani wote hawana familia na hawajali maisha yao, ya wateja wao au hata ya watumiaji wengine wa barabara. Wanaendesha km watu ambao wanatamani kifo kiwapate au watu ambao hawajali km kifo kitatokea au haiktatokea.
kwanini nichelewe!!!Hujawahi kuchelewa wewe?