Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
Asante kwa kujali rafiki. Nilikumiss though. Mgao huo nitaufungia safari kuufuata bila kujali nitaumia nauli kiasi gani kutoka huku niliko, lengo tu kuifuata NYAMA robo
Nimechekaaa! Hivi kuna mahali nimekataa kwamba sina undugu nao? Basi nilinukuliwa vibaya!ππππ inaonekana una undugu na mafisi wwπ·
ππππNimechekaaa! Hivi kuna mahali nimekataa kwamba sina undugu nao? Basi nilinukuliwa vibaya!
sikunyimππ
Nyama hiyo usininyimeππ
Hapo nimehamasika nitaifuata fastaasikunyim
πΆπΆπΆHapo nimehamasika nitaifuata fastaa
Halafu hiyo avatar yako hiyoo,...πΆπΆπΆ
dadako mm ww ujue...tumetoka mbali...Halafu hiyo avatar yako hiyoo,...
Hahahaha! Yaani nilichokusudia kusema, umenikatili!dadako mm ww ujue...tumetoka mbali...
Hahahaha! Yaani nilichokusudia kusema, umenikatili!
Hahahaha! Unazidi kunichekesha. Hivi nimeichungulia tenausiseme mdogo wanguπ...kuwa mzalendo kwangu
Hahahaha! Unazidi kunichekesha. Hivi nimeichungulia tena
Kweli nawashwawashwa kikikokotoo cha zamani,usiitoe.unawashwa washwa kama wastaafu eh..naitoa thathta
Kweli nawashwawashwa kikikokotoo cha zamani,usiitoe.
Umeichomoa sasa! Avatar. Haipo. Naona sasa kikokotoo kipya ntaamana kukipinga.πππππ nahis unakaribia kustaafu ndo maana unawashwaaa..ukistaafu niambie