Bodaboda na demu wameyakanyaga Mungu asante ila nisamehe

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,579
44,825
Juzi kati nilileta thread jinsi navyoishi chini ya dollar moja kwa siku yote naizingatia kwenye mboga na nikasema mademu zangu kwa sasa wanalia njaa ya chakula mambo sio mambo.

Sasa leo nimepika zangu dagaa, mchicha na maharage nataka kusonga ugali mara simu inaingia ya mwali unaulizia nilichopika nikamwambia akasema anapenda dagaa sana nikamwambia njoo chukua boda nina buku la ngama na kweli nilibaki na 1400.

Kweli demu kaja magetoni ile namlipa boda 1000 sijui ikawaje akiwa anaweka hela kadondosha 10000 me nikaiona kidogo niingie huruma nimwambie boda umeangusha ten ila kashetani kakanituliza niache wenge nikala buyu..kweli bwana boda kasepa nikamwingiza demu fasta ndani nikamwambia nakuja nikarudi nje nikachukua buku ten langu nikaificha.

Tumesonga ugali tumekula kisha kifuatacho mnakijua nikala na kazaga buree..bado mpaka muda huu niko na demu sehem tumekaa me konyagi ndogo yeye bia 2 serengeti lager na nahisi harudi kwao analala.

Akili mtu wangu kama ni kutapanya hela na sisi tushatapanya sasa ni muda wa kuokota vifaida vidogovidogo pole sana bodaboda huko ulipo.
 
Juzi kati nilileta thread jinsi navyoishi chini ya dollar moja kwa siku yote naizingatia kwenye mboga na nikasema mademu zangu kwa sasa wanalia njaa ya chakula mambo sio mambo.Sasa leo nimepika zangu dagaa,mchicha na maharage nataka kusonga ugali mara simu inaingia ya mwali unaulizia nilichopika nikamwambia akasema anapenda dagaa sana nikamwambia njoo chukua boda nina buku la ngama na kweli nilibaki na 1400.kweli demu kaja magetoni ile namlipa boda 1000 sijui ikawaje akiwa anaweka hela kadondosha 10000 me nikaiona kidogo niingie huruma nimwambie boda umeangusha ten ila kashetani kakanituliza niache wenge nikala buyu..kweli bwana boda kasepa nikamwingiza demu fasta ndani nikamwambia nakuja nikarudi nje nikachukua buku ten langu nikaificha..tumesonga ugali tumekula kisha kifuatacho mnakijua nikala na kazaga buree..bado mpaka muda huu niko na demu sehem tumekaa me konyagi ndogo yeye bia 2 serengeti lager na nahisi harudi kwao analala..akili mtu wangu kama ni kutapanya hela na sisi tushatapanya sasa ni muda wa kuokota vifaida vidogovidogo pole sana bodaboda huko ulipo.
Duh!. Alafu hela yenyewe umeenda kuinywea bia? Bora ungeitunza kwa ajili ya dagaa zako..
 
Hapo zamani ulipokuwa unasema wewe ni mpenda pombe nilikuwa nakuona fala ila itoshe kusema mwenzio sasa ni chapombe

Nilidhani nishapaata raha zote ila nimejua kuwa nilichelewa kuijua karibu Mbeya tuishi mwamba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom