GE2025 Bodaboda Msata: Tutamchagua Rais Samia ametupunguzia faini za barabarani

GE2025 Bodaboda Msata: Tutamchagua Rais Samia ametupunguzia faini za barabarani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Bodaboda wa eneo la Msata Mkoani Pwani wameahidi kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa kuwa amesaidia kuwapunguzia gharama za faini kutoka shilingi 30,000 hadi 10,000 pindi wanapopatikana na makosa ya barabarani.

Aidha, wamewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwa kuwa maendeleo yaliyopatikana chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan yanaonekana.
 
Back
Top Bottom