BodaBoda la Kihindi Hilooooooooooo

Mama anaitafutia spidi ili akifika huko atafunwe tu
 
Ebana eeee....si atasababisha ajali??

Kama ni mkewe hakuna ajali itakayotokea, uzoefu unaonyesha kuwa wanandoa huwa hawatamaniani wakiwa nje ya nyumbani, ila kama sio mkewe au mdogo wake kutakuwa na balaa hapo.
 
Fuata nyuki ule asali tena kwa raha zao na kwa kujinafas bila ya woga tulii kama mtungi wa maji na ndani yake kuna uwa la warid safi sana na hii itanibidi ni copy maana unakuwa hauna usongo wa maisha ni faraja tuu
 
Mnashangaa nini wakati hiyo ni "seat belt" ya abiria, hamuoni jinsi mkono ulivyobanwa sawia na huo mkanda?
 
Hawa wakwe zangu kwa mahaba hawavumi ila wamo,,, ila kuna ujinga flani huwa hawana uwezi wa ku kuchukua hatari imagine kwenye zoo moja Newdelhi jamaa aliliwa na chui wao wako busy wanarecord video ,,,,
 
Duh! Hiyo boda boda kiboko! Yaani gia imejificha hivyo halafu abiria ndiyo anaingiza gia dereva yeye ananyoosha chombo! Dadadadeeekii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…