Boda boda wasaliti UKAWA

Anna akili nyie tulien mskurupuke mi nimegaiwa ela ccm saiv mnasema ss ukawa tuna gawa ela kama amjui kitu tulien
 
Ha ha haaaa kwa hiyo UKAWA wanategemea boda boda kubebea nn km sio uzushi wa wabeba watu kwa malori????
 
BODABODA WOTE TANZANIA WANATAKA MAGEUZI,na tarehe 25 saa12 watakua vituo vya kupiga kura
 
Leo mwanza boda boda wakipigwa full tank na kipande cha 10,000 cha boss

Tatizo la boda boda nini hapo? Wako sahihi.Wako kazini.Na hizo boda boda sio zao ni za matajiri.Hivyo ukimkodi lazima umlipe apate pesa ya mafuta au umpe mafuta na umpe hela ya kupeleka kwa tajiri na ya yeye kula.Sababu hiyo boda boda ndio ajira yake.Hapo yuko kampeni ya CCM.Akimaliza CHADEMA nao wakitaka kuwakodi kampeni zao ruksa.Watawajazia mafuta au kuwapa hela za mafuta na kuwapa hela za tajiri na za kwao na watafunga bendera za CHADEMA na kuzunguka nao. hamna kosa ni biashara.

TOT bendi ya CCM ukiitaka ije kuimba CHADEMA ni hela yako tu.Unawakodi wanakutungia wimbo unawalipa hawana shida wanakuja.Wako kwenye biashara.Ikifika kura wanakwambia tutapigia CCM lakini kuimba tutamwimbia yeyote.

BODA BODA aweza shiriki kampeni yeyote kibiashara siku ya kura yeye ndiye ajua atampa nani.

Msiwanyanyapae boda boda wako kazini hapo.Hayo malipo yangekuwa hongo takukuru wangeenda kuwakamata lakini wako kibiashara.
 
Mavyenu boda wapi unaozungumzia wewe na ni chama kipi kinatia elf 5 kwa boda2 kama sio ccm
 

Ahsante kwa hewa chafu uliyoiachia hapa,kwa taarifa yako kama kuna mambo yamewachosha bodaboda na Watanzania wote ni ahadi zenye harufu nzuri na za kuvutia ambazo CCM imeshindwa kuzitekeleza miaka 54 tokea wakoloni waondoke!!CCM imeishiwa pumzi na inahitaji kupumzika.Kumchagua JPM ni sawa na kuchagua gurudumu tupu ukidhani ni gari kamili.
 
Mngejua hao wanakula hela zenu tu
 

Pole kwa kutumika vibaya zaidi ya miaka 50 toka tupate uhuru, hakika Mungu u mwema zimebaki siku 9 tukakukomboe na Tanzania mpya ya Lowassa.

Siku zote nilikuwa nikiwaweka katika sala zangu ninyi nyote mtumikao vibaya na hakika mwenyezi Mungu amesikia sala zetu za ukombozi toka utumwani mwa wakoloni mamboleo.
Ni dhambi kubwa na isiyo sameheka kwa wale wote wanaotumiwa vibaya kinyume na Mpango pamoja na sauti ya wengi.
 
Kwa Mujibu wa Sheria na Kanuni za Maadili Hutakiwi kufanya kampeni siku ya uchaguzi

nina wasiwasi ukikutwa unapiga push up siku ya uchaguzi tena iwapo itakua ni karibu na kituo cha kupigia kura ni kama utaonekana unaashiria/unampigia debe/kampeni mgombea fulani

Kuwa makini
 
Ushabiki wa kipambe huo maneno ni mengi wambea cku zote huwa hawakosi ktk jamii
 

Kawaida viloba vikiisha kichwani watu hukumbuka na hao vijana wamekumbuka kuwa walipotezwa
 
Wameujua ukweli kuhusu kiini macho wanachofanyiwa na ukawa ndio maana wameamua kuhama kutoka ukawa kuja ccm
 
anayesema upya wa tanzania ya lowassa, nmuulize swali. lowassa ana upya gani katika mfumo wa serikali?
 
binadamu si mnyama , ana upeo wa kuelewa. huna haja ya kufanya kiashiria chochote cha kampeni ukiwa mtimamu, ukijaribu bas huna budi kupigwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…