makoko jumanne
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 584
- 164
Nasikia siku hizi jamaa hawalipi baada ya kampuni zake kukaribia kufilisikaHawajawasaliti Mkuu, Wameshtuka mapema na wamegundua janja yao. Sasa wamejitambua. Hongereni waendeshaji wa Bodaboda.
CCM itashinda kwa kishindo.
Nasikia siku hizi jamaa hawalipi baada ya kampuni zake kukaribia kufilisika
Du vijana wenzangu kweli mmeAmka kwa sasa kama boda boda wamemgeuka mamvi katika maeneo mengi hapa nchini hii ni dalili njema kuwa tumeamka na tunajitambua,kura kwa kiongozi mchapakazi,mzalendo,mwadilifu na anayejali maslahi ya Taifa,John POmbe Magufuli
Nimesikitishwa sana na taarifa kuwa umoja huu wa UKAWA umesalitiwa na bodaboda baada ya kugundua kuwa umoja huo unaangalia maslahi ya viongozi wa juu wa umoja huo na si kuwainua wananchi wa kipato cha chini. Hivyo vijana hao wameapa kuwa wataendelea kuchukua fedha wanazopewa na UKAWA kama rushwa ili waweze kuwachagua kuingia madarakani.
Vijana hao wamesema kuwa sh.5000/ wanazolipwa watazichukua na watapigia kura mgombea mchapa kazi, mwadilifu na mzalendo.
Nami nimeona ni vyema nililete kwa wadau, kwa kuwa maeneo mengi niliyopita vijana hawa wamesema wamechoka ahadi za UKAWA ambazo kimsingi ni danganya toto.