Boda boda wangu

Boda boda wangu

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,438
Reaction score
3,951
Siku mkeo au demu wako atakwambia kuwa huwa ana bodaboda wake basi jitahidi na wewe utafute mama nitilie wako. Wakati mwingine inakera sana, mtu kumng’angania mtu huyo huyo kwani hamna wengne wenye uwezo kama wakwake au wenye pikipiki kama yakwake au nzuri zaidi ya yakwake? kunani? Ana muunganishia mishe zake vizuri au anatumika kwenye….
 
Boda wake akishakuwa mteja huwa wanaanza kukopana,kwani we huna drevatax wako mkuu?
Ila kuna wanawake wengine ni cheche tu bodaboda wake mdio mpango wake wa kando,mwingine ndio anayempelekaga kwa michepuko
 
Me nikifika shekilango tuu lazima nimpigie boda-boda wangu ambaye yuko external nikimkosa huyo kama sina haraka naweza tembea mdogo mdogo,.
Nikiwa nje ya mkoa hali ni hiyo hiyo namtafuta mmoja ambaye anajua natoka wapi naenda wapi,.
 
]Siku mkeo au demu wako atakwambia kuwa huwa ana bodaboda wake basi jitahidi na wewe utafute mama nitilie wako. Wakati mwingine inakera sana, mtu kumng’angania mtu huyo huyo kwani hamna wengne wenye uwezo kama wakwake au wenye pikipiki kama yakwake au nzuri zaidi ya yakwake? kunani? Ana muunganishia mishe zake vizuri au anatumika kwenye….
Kwani wewe mbona unakinyozi wako mkuu hakuna watu waovyo kama bodaboda kama anadandia kila boda usishangae kesho mkeo hana mguu kwangu con tatizo bora tu nickute wanachati na bodaboda anashida anainua cmu niko sehemu nifuate basi ila wivu ndio akili mkuu
 
Ni kutengeneza uteja tu ili sku ukiwa huna unamkopa
 
Back
Top Bottom