Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,057
- 1,868
wala hajafariki ila yaliyomkuta ni aibu.
Kitendo cha kuwaamini boda boda kwa wake zetu na kuwapa ruhusa kwenda majumbani kuwachukua wake zetu na kuwapeleka sehemu yeyote.inabidi tuwe makini kwani kuna jamaa hapa mtaani kwetu amechukuliwa mke na boda moja kwa moja sasa anabaki anajilaumu.
Kwa wanawake boda boda zinawapa genye sana. Kile kitendo chs kurushwa rushwa huku kakumbatia huwa kinawahamisha akili kabisa. (Ushuhuda toka kwa wahusika).
yaani kuanzia leo mke wangu nampeleka mwenyewe kila mahala.
Kwani bodaboda siyo mtu? Kama mwanamke hajiheshimu acha aliwe tu tena hawaliwi na bodaboda tu, hata shamba boy wanagonga. Kumfatilia mke ni kujipa stress zisizo za msingi.