Boda boda sio wa kuwaamini kabisa

Boda boda sio wa kuwaamini kabisa

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,056
Reaction score
1,867
Kitendo cha kuwaamini boda boda kwa wake zetu na kuwapa ruhusa kwenda majumbani kuwachukua wake zetu na kuwapeleka sehemu yeyote.

Inabidi tuwe makini kwani kuna jamaa hapa mtaani kwetu amechukuliwa mke na boda moja kwa moja sasa anabaki anajilaumu.
 
kitendo ambacho hakitakiwi ni kuwaamini boda boda moja kwa moja kwenda kuwachukuwa wake zetu na kuwa peleka kila mahara.
 
Bodaboda wanakula mademu hatari kuanzia vitoto vya shule mpaka wake za watu
 
Kwa wanawake boda boda zinawapa genye sana. Kile kitendo chs kurushwa rushwa huku kakumbatia huwa kinawahamisha akili kabisa. (Ushuhuda toka kwa wahusika).
 
Kitendo cha kuwaamini boda boda kwa wake zetu na kuwapa ruhusa kwenda majumbani kuwachukua wake zetu na kuwapeleka sehemu yeyote.inabidi tuwe makini kwani kuna jamaa hapa mtaani kwetu amechukuliwa mke na boda moja kwa moja sasa anabaki anajilaumu.

SHEIKH tafadhari sana!
 
Kwani bodaboda siyo mtu? Kama mwanamke hajiheshimu acha aliwe tu tena hawaliwi na bodaboda tu, hata shamba boy wanagonga. Kumfatilia mke ni kujipa stress zisizo za msingi.
 
yaani kuanzia leo mke wangu nampeleka mwenyewe kila mahala.

Unakumbuka shuka kumekucha.....
Kama keshaliwa sana tu na bodaboda, nw kuna haja gn kumwekea ulinzi. Waache waendelee kufaidi cz ww umeshindwa kazi.
Mke hajawa ng'ombe kwamba umchunge, hii ni kutokujiamini. Na Mwanaume ni kujiamini bana......aaargh!
 
Msiwasingizie bhana madreva wa bodaboda kwani huyo mwanamke akitongozwa hawezi kukataa au wanashikwa kwa nguvu
 
Kwani bodaboda siyo mtu? Kama mwanamke hajiheshimu acha aliwe tu tena hawaliwi na bodaboda tu, hata shamba boy wanagonga. Kumfatilia mke ni kujipa stress zisizo za msingi.

Bodaboda ni binadamu tu kama binadamu wengine tatizo ni kwamba wengi ni vijana wadogo ambao walipaswa wawe shule labda kutokana na umaskini au sababu nyingine hawakuendelea na shule. Kwa hiyo kusikia mkeo analiwa na kijana mdogo tu inauma na hasa ukizingatia kuwa wao wanaona ni sifa hadi kupiga story kuhusu uhusiano huo na vijana wenzao lugha zenyewe za mitaani si mnajua tena! Inauma kwa kweli maana suala sio tu mke kuchepuka bali pia anachepuka na nani!
 
hata kama wana haki ya kupenda lakini boda boda asilimia kubwa hawana adabu.unakuta anaekuchapia ni bwana mdogo. yaani inauma sana.
 
kumbe boda boda ni biashara nzuri ya kufanya aisss
 
Back
Top Bottom