S Shinnok JF-Expert Member Joined Sep 26, 2019 Posts 236 Reaction score 564 Jun 6, 2022 #1 Mwanamke unakubaliji kuolewa na hawa jamaa waendesha bodaboda ni wambea sana wafitinishaji ndio maana hayafanikiwagi
Mwanamke unakubaliji kuolewa na hawa jamaa waendesha bodaboda ni wambea sana wafitinishaji ndio maana hayafanikiwagi
Political stability JF-Expert Member Joined Apr 7, 2021 Posts 905 Reaction score 1,410 Jun 6, 2022 #2 Shinnok said: Mwanamke unakubaliji kuolewa na hawa jamaa waendesha bodaboda ni wambea sana wafitinishaji ndio maana hayafanikiwagi Click to expand... Umezingua.. 1. Kwani anayesafirisha abiria kwa usafiri wa pikipiki, hatakiwi kuoa? 2. Suala kufanikiwa, ni suala la mtu binafsi, sio kazi anayofanya.. 3. Kwani boda boda ndio wambea peke yao?
Shinnok said: Mwanamke unakubaliji kuolewa na hawa jamaa waendesha bodaboda ni wambea sana wafitinishaji ndio maana hayafanikiwagi Click to expand... Umezingua.. 1. Kwani anayesafirisha abiria kwa usafiri wa pikipiki, hatakiwi kuoa? 2. Suala kufanikiwa, ni suala la mtu binafsi, sio kazi anayofanya.. 3. Kwani boda boda ndio wambea peke yao?
Tafuta Hela JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 1,544 Reaction score 2,999 Jun 6, 2022 #3 Akili mtu wangu
A Anti-monitor JF-Expert Member Joined May 14, 2022 Posts 510 Reaction score 773 Jun 6, 2022 #4 Wamekufanya nin tena bodaboda ndugu yetu
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,677 Jun 6, 2022 #5 Political stability said: Umezingua.. 1. Kwani anayesafirisha abiria kwa usafiri wa pikipiki, hatakiwi kuoa? 2. Suala kufanikiwa, ni suala la mtu binafsi, sio kazi anayofanya.. 3. Kwani boda boda ndio wambea peke yao? Click to expand... Wacha tuwagingee tuu wake zao wanatuleta madhara mingi hawa watu
Political stability said: Umezingua.. 1. Kwani anayesafirisha abiria kwa usafiri wa pikipiki, hatakiwi kuoa? 2. Suala kufanikiwa, ni suala la mtu binafsi, sio kazi anayofanya.. 3. Kwani boda boda ndio wambea peke yao? Click to expand... Wacha tuwagingee tuu wake zao wanatuleta madhara mingi hawa watu
BravoZulu JF-Expert Member Joined Sep 16, 2021 Posts 1,824 Reaction score 3,757 Jun 7, 2022 #6 Man down
Feisal2020 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2018 Posts 1,329 Reaction score 3,399 Jun 7, 2022 #7 Umefanya upuuzi wamemwambia mkeo unakuja kulialia hapa. Yani wasifanikiwe kisa kukusemea kwa wife ila ufanikiwe wewe mzinzi?
Umefanya upuuzi wamemwambia mkeo unakuja kulialia hapa. Yani wasifanikiwe kisa kukusemea kwa wife ila ufanikiwe wewe mzinzi?
Political stability JF-Expert Member Joined Apr 7, 2021 Posts 905 Reaction score 1,410 Jun 7, 2022 #8 Kuna boda boda, wamefanikiwa, kuliko hata wewe.. utakuwa umegongewa mke na boda boda ww
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,138 Reaction score 122,592 Jun 7, 2022 #9 Kupatwa kwa bodaboda.
Zero Conscious JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 254 Reaction score 525 Jun 7, 2022 #10 Shinnok said: Mwanamke unakubaliji kuolewa na hawa jamaa waendesha bodaboda ni wambea sana wafitinishaji ndio maana hayafanikiwagi Click to expand... Pole mkuu kwa kuripotiwa kwa mkeo na bodaboda
Shinnok said: Mwanamke unakubaliji kuolewa na hawa jamaa waendesha bodaboda ni wambea sana wafitinishaji ndio maana hayafanikiwagi Click to expand... Pole mkuu kwa kuripotiwa kwa mkeo na bodaboda
Karao JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 1,057 Reaction score 603 Jun 7, 2022 #11 Nikweli aisee
chuma cha mjerumani JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 12,183 Reaction score 25,426 Jun 7, 2022 #12 War machine said: Wamekufanya nin tena bodaboda ndugu yetu Click to expand... boda washafanya yao. Shemeji kafanya maamuzi magumu
War machine said: Wamekufanya nin tena bodaboda ndugu yetu Click to expand... boda washafanya yao. Shemeji kafanya maamuzi magumu
chuma cha mjerumani JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 12,183 Reaction score 25,426 Jun 7, 2022 #13 Shadeeya said: Kupatwa kwa bodaboda. Click to expand... Mkuu umenivunja mbavu.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,469 Jun 7, 2022 #14 Wameomba gemu kwa mchepuko wako
S Samtee Member Joined May 2, 2018 Posts 89 Reaction score 125 Jun 8, 2022 #15 K Shinnok said: Mwanamke unakubaliji kuolewa na hawa jamaa waendesha bodaboda ni wambea sana wafitinishaji ndio maana hayafanikiwagi Click to expand... Kuna mahali nimesoma wameandika "mdada usimpee bodaboda atakushangaza kwa maneno yaani utakuta wengine washalala na wewe kiakili sababu ya mdomo. Wakale vya wake zao"
K Shinnok said: Mwanamke unakubaliji kuolewa na hawa jamaa waendesha bodaboda ni wambea sana wafitinishaji ndio maana hayafanikiwagi Click to expand... Kuna mahali nimesoma wameandika "mdada usimpee bodaboda atakushangaza kwa maneno yaani utakuta wengine washalala na wewe kiakili sababu ya mdomo. Wakale vya wake zao"
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 17,690 Reaction score 21,916 Jun 8, 2022 #16 umegongewa na ogopa Sana endapo unakesi au unatafutwa ujichanganye na kupanda bajaji au pikipiki ogopa Sana vituo hivyo
umegongewa na ogopa Sana endapo unakesi au unatafutwa ujichanganye na kupanda bajaji au pikipiki ogopa Sana vituo hivyo
Northman JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 1,587 Reaction score 2,518 Jun 8, 2022 #17 Tafuta Hela said: Akili mtu wangu Click to expand... Huyu hawezi elewa.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,518 Reaction score 176,646 Jun 8, 2022 #18 Wamekufanyaje jamani, hebu tulia utupe mkasa vyema.
Trinity JF-Expert Member Joined Jul 20, 2017 Posts 1,867 Reaction score 3,618 Jun 8, 2022 #19 Shinnok said: Mwanamke unakubaliji kuolewa na hawa jamaa waendesha bodaboda ni wambea sana wafitinishaji ndio maana hayafanikiwagi Click to expand... Pole, mi mwenyw dereva boda boda, hiyo tabia hatuna kabisa na mafanikio sio haba tunayapata.!!
Shinnok said: Mwanamke unakubaliji kuolewa na hawa jamaa waendesha bodaboda ni wambea sana wafitinishaji ndio maana hayafanikiwagi Click to expand... Pole, mi mwenyw dereva boda boda, hiyo tabia hatuna kabisa na mafanikio sio haba tunayapata.!!
E elishaezekiel JF-Expert Member Joined Oct 16, 2016 Posts 563 Reaction score 1,473 Jun 8, 2022 #20 Mwanamke kulowa haitaji Ndinga bali mwanaume aliyemvutia hata kama ni shamba boy anapewa mzigo