Boda boda makes it to oxford English Dictionary

kemo

Senior Member
Dec 21, 2016
186
212
'Boda boda' makes it to Oxford English Dictionary

The ninth edition of the Oxford dictionary has adopted 'boda boda' as an English terminology.

Collins and Macmillan dictionaries define the term as a bicycle taxi or a bicycle rider in charge of a motorcycle.

OED defines it as: "A type of motorcycle or a bicycle with a space for a passenger or for carrying goods, often used as a taxi."

The term has its roots in English words 'border border' shouted by riders in Busia, Kenya.

They ferried people from outlying areas in the county, a former district, to Busia town.

Most times, people avoided using matatus because they were expensive or few. But they would also fail to agree with matatus on the fare to the town.

In the border town, a theory says boda bodas transported people across a border without any paperwork and that this did not apply to cars.

Many youths work as riders in towns across Kenya but they have been blamed for numerous accidents.
 
bodaboda.jpg
 
Sioni umuhimu wowote, kama sisi huku tunalitumia neno tayari wao wazungu kuliweka ktk vitabu vyao ni mambo yao.
 
Chimbuko la Boda boda ni mpakani mwa TZ & UG pale.... Mtukula

Kumbe hujui, uliza upewe taarifa, Bodaboda ilianza kama usafiri wa baiskeli kati ya mpaka wa Kenya na Uganda. Baadaye pikipiki zilianza kutumika na kuzagaa kote.
 
Asante sana nafurahi kuona kiswahili kikikua sasa katika nyanja za kimataifa

Kamusi hiyo imechapishwa na matbaa ya Chuo Kikuu cha Oxford (OUP), na ni makala ya tatu.
Pia, kuna maneno yenye asili ya lugha nyingine za Afrika Mashariki au yaliyotoholewa na kuanza kutumiwa katika Kiswahili, ambayo yameongezwa kwenye kamusi hiyo.

Miongoni mwa maneno hayo ni:

Bodaboda - Baiskeli au pikipiki inayotumiwa kwa uchukuzi wa abiria

Mwananchi - Kwa maana ya mtu wa kawaida au raia wa kawaida

Daladala - (nchini Tanzania) mabasi madogo yanayotumiwa kwa uchukuzi wa abiria

Sambaza - Kugawa au kueneza kitu muhimu au cha thamani kwa watu wengine

Mwalimu - Neno linalotumiwa kabla ya kutaja jina la mtu anayeheshimika au anayeenziwa, ambaye anaweza kutoa ushauri au ujuzi kwa wengine. Mfano, Mwalimu Nyerere.
 
Wenye kamusi yao weshakupa mfano wa Kampala.
Lakini kimsingi ilianzia Palee Mtukula.
Mbona hakuna Kenya humo?
Utapakatwa?
Au ushalipiwa?
 
'Boda boda' makes it to Oxford English Dictionary

The ninth edition of the Oxford dictionary has adopted 'boda boda' as an English terminology.

Collins and Macmillan dictionaries define the term as a bicycle taxi or a bicycle rider in charge of a motorcycle.

OED defines it as: "A type of motorcycle or a bicycle with a space for a passenger or for carrying goods, often used as a taxi."

The term has its roots in English words 'border border' shouted by riders in Busia, Kenya.

They ferried people from outlying areas in the county, a former district, to Busia town.

Most times, people avoided using matatus because they were expensive or few. But they would also fail to agree with matatus on the fare to the town.

In the border town, a theory says boda bodas transported people across a border without any paperwork and that this did not apply to cars.

Many youths work as riders in towns across Kenya but they have been blamed for numerous accidents.

Asante sana nafurahi kuona kiswahili kikikua sasa katika nyanja za kimataifa

Kamusi hiyo imechapishwa na matbaa ya Chuo Kikuu cha Oxford (OUP), na ni makala ya tatu.
Pia, kuna maneno yenye asili ya lugha nyingine za Afrika Mashariki au yaliyotoholewa na kuanza kutumiwa katika Kiswahili, ambayo yameongezwa kwenye kamusi hiyo.

Miongoni mwa maneno hayo ni:

Bodaboda - Baiskeli au pikipiki inayotumiwa kwa uchukuzi wa abiria

Mwananchi - Kwa maana ya mtu wa kawaida au raia wa kawaida

Daladala - (nchini Tanzania) mabasi madogo yanayotumiwa kwa uchukuzi wa abiria

Sambaza - Kugawa au kueneza kitu muhimu au cha thamani kwa watu wengine

Mwalimu - Neno linalotumiwa kabla ya kutaja jina la mtu anayeheshimika au anayeenziwa, ambaye anaweza kutoa ushauri au ujuzi kwa wengine. Mfano, Mwalimu Nyerere.
Hii ni habari njema sana! Nafurahi kuona Kiingereza nacho kikianza kukopa maneno ya kiswahili.

Siku namwambia mtu mmoja hapa kuwa kiswahili ni #13 kwa lugha zenye ushawishi duniani na #16 kwa lugha zenye wazungumzaji wengi nadhani hakuelewa! Kwa matokeo haya ataanza kupata somo
 
Wenye kamusi yao weshakupa mfano wa Kampala.
Lakini kimsingi ilianzia Palee Mtukula.
Mbona hakuna Kenya humo?
Utapakatwa?
Au ushalipiwa?
Boda boda (pia: bodaboda) ni neno la kutaja baisikeli inayotumiwa kubeba abiria katika Afrika ya Mashariki au "baisikeli ya teksi". Linaweza kumtaja pia dereva wa baisikeli hii.

Asili yake ni kati ya Wajaluo wa eneo la mpakani kati ya Kenya na Uganda karibu na ziwa Viktoria. Inasemekana asili yake ilikuwa huduma ya kubeba abiria kati ya mipaka ya Kenya na Uganda mjini Busia. Hivyo neno la Kiingereza la "border" = "boda" lilikuwa chanzo cha jina "boda-boda" Lakini huduma imeenea sehemu mbalimbali kama vile pwani la Kenya (Mombasa, Malindi) na pia katika Uganda.

Baisikeli ya kawaida inayotakiwa imara hubadilishwa kwa kuweka kiti kirefu kama pikipiki.
 
Hahahha wakenya mnapenda sifa nyie watu,basi na kiswahili kimeanzia Mombasa

Duh kaka hukujua Kiswahili kimeanzia pwani ya Kenya, wengine tumedandia tu. Leo hii utakuta Msukuma au Mhaya anang'ang'ania Kiswahili eti ndio lugha yake ya asili.
 
Ona sasa! Pwani ya Kenya au Pwani ya Afrika Mashariki?
 
Back
Top Bottom