Ndiyo hivyo muache kukurupuka kupost vitu ambavyo hamvijui.Hayo ya kurushiwa bomu (kopo) chumbani kwake kayasema yeye sawa tu na yale aliyosema Tundu Lissu ya kupokea simu kutoka kwa asiyejulikana akimtishia kuondoa uhai wake!
Unamuita check Bob lakini ukweli ni kwamba ana uwezo mkubwa and he is very courageous, hao wenye uwezo mbona hawajitokezi? Maana yake ni waoga kama wewe hapo, ila ukiwa nyuma ya keypads unajifanya warrior wakati mwenzio yuko uwanja wa mapambano.Habari yake haiwezi kumalizwa na check bob aka bob wine! Uganda ina wasomi wakubwa (inaongoza kwenye nchi za EA) wengi wenye uwezo mkubwa wa kuwa marais wa nchi hiyo wakati mwafaka utakapofika - na wakati mwafaka huo ni wakati Mu 7 atakapoachia nafasi hiyo kwa hiari yake au kwa maamuzi ya Muumba wake. Na kipindi hicho wala hakizidi miaka 10. Mu7 kaitoa mbali nchi hiyo na bado anaendelea kuipeleka mbali kimaendeleo; wenye akili wana muheshimu sana na wanakusubiri wakati huo muafaka. Hii micheck bob inapaswa kushughulikiwa.
Hayo ya kurushiwa bomu (kopo) chumbani kwake kayasema yeye sawa tu na yale aliyosema Tundu Lissu ya kupokea simu kutoka kwa asiyejulikana akimtishia kuondoa uhai wake!
ivi nyie ni watu gani ? mtu kapigwa risasi nusu kufa asiogope ? alafu watu wa ccm kawashinda tundu lissu kweli kwa hoja mpaka mnamiminia risasi, yan bashiru, pole pole, sijui jiwe yan hamna kabisa hoja zakumshinda zaid yakusema anatumika na mabeberu ? me huwa sina sides ila huwa nashangaa sana , how comes one person anarun show mpaka mnaona hamwez mnaenda kutumia power kubwa
elimu duni ndio chanzo cha utopoloHaiusiani mkuu...
WAKAJA WAWILI.Nireteeni gwajima
ThubutuuMuseveni kwisha habari yake
Afrika yeyeto tu anaweza kuwa raisi.📌
Mm siku nliposkia wine anataka urais nkajisemea huu ni upumbavu kiwango cha HD
Mbona Magufuli kaweza urais na mambo yanaenda tu?!📌
Mm siku nliposkia wine anataka urais nkajisemea huu ni upumbavu kiwango cha HD
Ni makamanda pekee ndo wanaweza kushabikia ujinga wa aina hiyo📌
Mm siku nliposkia wine anataka urais nkajisemea huu ni upumbavu kiwango cha HD
Mbona hata wewe unaweza kuchangia hoja humu kwenye 'the home of great thinkers'?!Mbona Magufuli kaweza urais na mambo yanaenda tu?!
Kina nani boss?Ni kweli sikatai Rais Museveni anaweza kuwa na Matatizo ( Mapungufu ) yake ila na huyu Mpinzani wake Bobi Wine anatumika vibaya na Wahuni.
Najua Waganda wamemchoka Babu Mu 7, lakini kuongozwa na Bobi wine nisingewashauri.
Kujiunga na kuwa upande wa uonevu kwa kutumia akili na maandishi ni dhambi ya kijinga kama kumasterbate aka kupiga punyetoHayo ya kurushiwa bomu (kopo) chumbani kwake kayasema yeye sawa tu na yale aliyosema Tundu Lissu ya kupokea simu kutoka kwa asiyejulikana akimtishia kuondoa uhai wake!
Shika adabu yako! Huwezi muita Tundu Lissu mchumia tumbo kwani kwa kufanya hivyo unaruhusu hata mgombea mwenzie John Magufuli naye atukanwe kwa majina machafu na utahatarisha usalama wa ntandao wetu huu kuwepo hewani.Kwamba Bob Wine ni chumia tumbo kama Tundu Lisu?