zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,393
- 40,292
Kama hujui kitu uliza, sio kujifanya unajua wakati hata bendera ya UG pengine hujawahi hata iona.Kwahiyo Kabaka ana nguvu sana hapo Uganda eti?
Kwani kutaja kampala ni lazima ikulu iwe huko?
Kama huyo Kabaka wana lolote mbona M7 anajitawalia Uagnda apendavyo tena sasa ndio ameanza maandalizi ya kumuweka mwanae kwenye madaraka huku wao Kabaka wapo?
Mkuu Kabaka ni stori za miaka ya 1800 walipokuwa na nguvu sasa hivi wote wako mfukoni mwa M7 hawana la kusema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huna ujualo mkuu! Unaongelea mambo ya Kabaka wa miaka ya 1800 uliesoma kwenye history ya form 4?
Ni kwamba M7 kamuweka mwanae ndio mkuu wa kikosi maalumu katika jeshi la uganda na kikosi hicho ndio kicho husika na ulinzi wa rais M7. Kwa hatua hiyo hayo ni maandalizi ya Museven kumwachia madarka mwanae.
Itafika hatua Museven atachoka kimwili na kiakili kisha wataunda zengwe na mwanae ili mwanae ajifanye anampindua babaake na hapo ndio mchakato wa kupasishana urais utakapofanyika.
Bobi yule washabiki wake wahuni kama wale wale wanaojazana kwenye matamasha ya muziki wa Diamond tu. Na si ajabu hata kupiga kura hawaendi.
Ndio kusema Lisu na Bobi wine hawatofautiani.
Waafrika tuna shida sana ndiyo maana hatuwezi ondoka mikononi mwa mzungu.
Nadhani unachanganya kati ya rais na mgombea.Tunahitaji rais aliyetulizana na familia yake ikulu!! Zamani ningewaelewa kidogo lakini siku hizi teknolojia hatuhitaji kuwa na loopholes za ku- breach our "whitehouse security firewall"!
Pili, kuficha familia yake nje inatengeneza mazingira hatarisha ya rais wa nchi kuwa blackmailed. Sasa rais amekuwa blackmailed kuna nchi hapo!?
Tatu, kuficha familia ng'ambo huku unasema ni rais wa nchi, ni ishara kubwa sana kuwa ama wewe ni very weak na upo kwenye nafasi hiyo kwa nguvu za walioifadhi familia yako, ama hiyo nchi ni very fragile katika kila eneo hasa la ulinzi na usalama pamoja na jamii kwa ujumla.
Kwa hiyo raia wanaokubali kumuweka madarakani rais ambaye ameficha familia yake ughaibuni, hao watakuwa wanakubali mapungufu matatu niliyoeleza! Na kukubali mapungufu hayo, wakati nchi yenu hako katika hali hiyo ni uwendawazimu!!
Mjadili au mbishane?Wapuuzi ni wengi huku mitandaoni mmojawapo ni wewe. Watu wanapojadili kitu msilete mihemko yenu humu kwakuwa mna id za siri. weka facts tubishane. Mtu hujui lolote unaleta ubishi tu kipuuzi. Matusi ndo tiba yenu.
Kwamba ni lazima nifike ili nifahamu kinachoendelea huko?
Kwamba ni lazima nifike ili nifahamu kinachoendelea huko?
Angewaondoa na watoto wa wafuasi wake ili aanzishe vurugu vizuri.Wewe una watoto? Au wewe mgumba hauzai, mzazi yoyote yule anayejitambua mwenye watoto ataheshimu alichofanya Bobi Wine, kwanini uwaingize watoto wako katika risk na una uwezo wa kuwalinda.
Watoto wa wafuasi wake nani ana walinda?Wewe una watoto? Au wewe mgumba hauzai, mzazi yoyote yule anayejitambua mwenye watoto ataheshimu alichofanya Bobi Wine, kwanini uwaingize watoto wako katika risk na una uwezo wa kuwalinda.
Kufa kufaana...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Inaitwaa wakufa mwachee afeeeWatoto wa wafuasi wake nani ana walinda?
Siasa zako tuYaaah kuna tofauti kati ya possibly yes na probably yes ? umeshawah kuwaza vitu kama hivyo ?
Khaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Upo mkoa gani kwanza ?
Vipi! Tayari ameshajulikana yule alimpiga risasi 16?Hayo ya kurushiwa bomu (kopo) chumbani kwake kayasema yeye sawa tu na yale aliyosema Tundu Lissu ya kupokea simu kutoka kwa asiyejulikana akimtishia kuondoa uhai wake!
Ugoni mbaya jamani. Hata kwenye bibilia watu wa aina hiyo walikuwa wanapigwa mawe hadi kufa. Siku hizi wanamiminiwa marisasi.Vipi! Tayari ameshajulikana yule alimpiga risasi 16?
Sawa msomielimu duni ndio chanzo cha utopolo