Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,291
- 219,528
Taarifa zinaonyesha kwamba kiongozi huyo wa chama cha upinzani nchini Uganda , ambaye ndiye chaguo la wananchi wa Uganda ( isipokuwa vyombo vya dola ), amefika nchini Tanzania kwa lengo la kumsalimia Mhanga wa kesi ya uongo ya Ugaidi Freeman Mbowe .
Bobi Wine anafahamika kwa ujasiri wake wa kupambana na Yoweri Museveni , kiongozi wa Uganda aliyechoka na anayeongoza kwa mtutu wa bunduki .
View attachment 2164233
View attachment 2164234
Ziko taarifa kwamba kuna msululu wa wanasiasa wa dunia wanaokuja kumuona MboweHabari mbaya mno hii kwa kina Phillipo Bukililo na jamaa zao
Ziko taarifa kwamba kuna msululu wa wanasiasa wa dunia wanaokuja kumuona Mbowe
Kesho utasikia
Jeshi la polisi limekataza wanasiasa kuja nchini kutoka na taarifa za kijasusi zilizowafikia
Hii nchi ngumu kaka tatizo zikifanyika hivyo mama anaachia kitiSi tumeshakubaliana siasa za haki, kuaminiana na kuwadhibiti vizaba zabina?
Hii nchi ngumu kaka tatizo zikifanyika hivyo mama anaachia kiti
Mbowe alipatikana na kesi ya kujibu, ushahidi wa serikali ulitosha
Ukupatikana na kesi ya kujibu ndo kuwa na hatia ,ndo maana huna demuMbowe alipatikana na kesi ya kujibu, ushahidi wa serikali ulitosha
Walimuonea hurumaHalafu Mbowe akaifuta kesi?
Ushahidi wa mashtaka ulitosha kumtupa lupango, mashehe na maaskofu wakamuokoaUkupatikana na kesi ya kujibu ndo kuwa na hatia ,ndo maana huna demu
Et mashehe wakamuokoa wale wala tigo wa baraza la vyamaUshahidi wa mashtaka ulitosha kumtupa lupango, mashehe wakamuokoa
Noma sana!
Ndege wenye mabawa yanayofanana huruka kwa pamoja. One heart, one mind, one love.Taarifa zinaonyesha kwamba kiongozi huyo wa chama cha upinzani nchini Uganda , ambaye ndiye chaguo la wananchi wa Uganda ( isipokuwa vyombo vya dola ), amefika nchini Tanzania kwa lengo la kumsalimia Mhanga wa kesi ya uongo ya Ugaidi Freeman Mbowe .
Bobi Wine anafahamika kwa ujasiri wake wa kupambana na Yoweri Museveni , kiongozi wa Uganda aliyechoka na anayeongoza kwa mtutu wa bunduki .
View attachment 2164233
View attachment 2164234
Akiwemo Rais wa MarekaniZiko taarifa kwamba kuna msululu wa wanasiasa wa dunia wanaokuja kumuona Mbowe
Hizi ni habari nzito na muhimu kwenu nyinyi wanaharakati. Kwa watu makini ni sawa na sisimizi kutambaa juu ya tembo mgongoni wakati akinywa maji.Habari mbaya mno hii kwa kina Phillipo Bukililo na jamaa zao