monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,487
- 13,018
Ni laana sana kuzaliwa Africa!
Mkuu
Historically udikteta haujawahi kulipa!
Hawa jamaa watumie akili,tena sana!
Kashaanza kuwapiga Money laundering.Ile mbinu kaona mwenzake kafail sasa wameamua kuwafunga maisha wakagombee urais gerezani hata hapa kwetu wengi wataozea gerezani tu.