Bob Mtekama: FBI wa Malawi aliyekamata raia wetu huko Malawi

mmm?
 
una uhakika na unachosema?
 


Hii itakuwa ni 15 minutes at Muzuzu. Twende kazi!.
Watanzania wamejaa malawi yote.
 

Kwenye masuala ya uchunguzi na usalama kila habari inachukuliwa. Hauwezi kudharau habari yoyote inayoleta mwanga au kuonyesha njia.
 
Nchii hii sio ya hivyo tz hakuna majasusi wale ni watu wa kawaida tu malaw wamakuza tu il tz tuonekane wachokozi tz yetu tunao wahamiaji haramu wengi tena warundi wanyarandwa wamalaw waganda na wakongo mbona hatujawah Kuwaita majasus malawa wanataka huruma za mataifa ya ulaya kipitia Kik
 
Sio Kepteni Mahafoudh bali alikuwa ni Kanali Mahafoudh.

Pamoja na ujemedari wake wote alifukuzwa Tanzania kwa kisingizo cha kushiriki katika mauaji ya Karume.

Akaenda Msumbiji ambapo akawa mshauri wa masuala ya Ulinzi mpaka akafia na kuzikwa huko katika makaburi ya mashujaa wa Msumbiji.

Nabii hakubaliki kwao.

Kwa leo niishie hapo.
 
acheni kupoteza muda na hawa sifuri wa kimalawi. hawana lolote. wamesoma lakini hawana akili kabisa. nimewadharau wamalawi kuliko watu wote wa africa.wana mambo ya kitoto utafikiri wanadeal na watoto wenzao.
 
wanatafuta wataalamu wa vyeti tu, wakupe kazi, unaweza kuwa msaada kwenye kitengo cha Intelejesia. Ingawa nimehisi kwamba kuziweka hizi data hapa huenda kunaonesha sura tofauti
mkuu hatuna pa kusemea sisi watoto wa wakulima, ndiyo maana nikaziweka hapa.
 
sisi si nchi ya 4 kwa upelelezi/ujasusi duniani,,iweje majasusi wetu wakamatwe kwenye ambayo haipo hata 100 bora?hawamu ya 4 ilikuwa balaaaaaaa
 
Na wewe uka amini kuwa alifukuzwa!!!

Na washawasha!

 
Ukirudi uijazie nyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…