Bob Haisa aanza ku-shoot video ya Lamsondo

Bob Haisa aanza ku-shoot video ya Lamsondo

BM MJUKUU

Member
Joined
Nov 30, 2013
Posts
33
Reaction score
3
DSC_6413.JPG


Mwanamuziki kutoka Mwanza,Bob Haisa ameanza ku-shoot video ya wimbo wake mpya 'Lamsondo' akiongea na blog hii alisema
"Jun 15, 2014 Niliuachia rasmi wimbo Lamsondo kupitia mitandao mbalimbali ndani na nje ya nchi kisha ikafatia remix yake Aug 1, 2014 ambayo pia ilisambaaa kwa kasi sana lakini kama haitoshi Aug 3, 2014 niliingia location ndani ya fukwe za Shafiq Beach kufanya video yake ambapo watu kibao wakiongozwa na Peace Film Production walisimama kunisupport.


DSC_6413.JPG


Bob haisa akiwalocation na warenbo washiriki ndani ya maji.

Warembo zaidi ya 15 walishiriki pamoja na wanaume wakali wa miduara kutoka Mwanza. Location ilipambwa, wengi waliofika Shafiq Beach Jumapili hiyo ya tarehe 3 na walishindwa kujizuia na kujiunga kupiga duara. Nathubutu kusema huu ndo wimbo wa mduara uliofungua safari yangu ya kurudia style ya mduara ambayo kwa muda nilijitenga nayo.



DSC_6517.JPG
Bob haisa akiwa pamoja na baadhi ya washiriki na wadau wa video ya lamsondo

Kuanzia audio iliyoandaliwa na producer king fenya wa Mbunda Records mpaka video zimekidhi kiwango kinachoendana na uhitaji wangu pamoja na mashabiki na wapenzi wa muziki wangu hususani wanamduara wenzangu. Hebu fungua macho na maskio usikie na uone ujio wangu mpya kwenye miduara lakini pia nawapongeza wale wote waliojitokeza baada ya ukimya wangu nipokeeni tuburudike."

DSC_6437.JPG
DSC_6439.JPG
DSC_6426.JPG
Hawa wawili ni director ken akiwa na msaidizi wake jina Nestor


DSC_6454.JPG
King Fenya producer wa audio ya lamsondo akiwa pamoja na mr Armon mkurugenzi wa peace film production walio simamia mzigo wa vdeo
DSC_6445.JPG

Chanzo: Mashaka Kisusi

 

Attachments

  • DSC_6413.JPG
    DSC_6413.JPG
    183.5 KB · Views: 52
Back
Top Bottom