Ni kada mtiifu tu yupo kwenye list ya chama ana kadi ya chama wanyoke nae tu hao ndio tegemeo LA uchakachuziMkurugenzi wa NEC mwenyewe. Hapa tumekata matawi tu,steam na mizizi bado
1. Njia ya kuwapata ni kwamba watu wenye sifa waombe hizo nafasi kwenye Tume ya Uchaguzi, mchakato uwe wazi.
2. Makada watawekewa mapingamizi na watapigwa chini endapo itathibika kwamba aliyeomba ni kada wa chama fulani. Awe CHADEMA, CCM, ACT atapigwa chini kama itathibitika ni kada.
3. Majina yaliyopita yatawekwa wazi na watakuwa wasimamizi katika ngazi ya jimbo ambao nao watatumia mtindo huo huo kuwapata wasimamizi kwenye ngazi za Kata, kisha ngazi ya kituo.
Waliohitimu na Wako mtaani wataiuza inji alfajiri kabla ya kuamkaWalimu walio hitimu wanaweza kufanya hiyo kazi....kuna lingine
Miezi sita au mwaka naona c sawa kwani wanaweza kuhongwa. Na yeye hawezi kukosa chochote kwani anajua kuwa hata akivurunda anaondokaWawe waajiriwa wa NEC kwa specific time, mfano miezi 6 au mwaka ambapo kazi itatangazwa na sifa za mwombaji kuonyeshwa kwenye tangazo. Sifa za mwombaji among others lazima zizingatie katiba. Kabla ya kuajiriwa, majina yatangazwe gazetini ili kama mtu ana zuio la haki kwa mwajiriwa anayekusudiwa, mtu huyo aweze kueleza na hasa kama mtu anayetakiwa kuajiriwa ni kada wa chama fulani.
Sina hakika kama NEC inaweza kuajiri wafanyakazi permanent kwa nchi nzima. Ma-DED wasingekuwa makada walikuwa wanasaidia kubana matumizi as walihitaji posho tu wakati wa uchaguzi na si mishahara kutoka NEC.Miezi sita au mwaka naona c sawa kwani wanaweza kuhongwa. Na yeye hawezi kukosa chochote kwani anajua kuwa hata akivurunda anaondoka
Kwani nchi zingine zinazofanya chaguzi zisizoegemea chama fulani wanafanya Je ?!. Tena hizo nchi zime advance compare to us. eg Japan, S. Africa , Norweiy, S. Korea, France, Nigeria nk nk . Kwanini sisi tung'ang'anie kwenye chaguzi zenye hila ?!Leo asubuhi Bob Chacha WANGE ameshiriki kipindi cha gumzo cha BBC. sehemu ya mazungumzo yao:-
Mtangazaji:- mtazamo wenu hamuwataki MADED wasimamie uchaguzi; je ni nani wawekwe badala yao na itumike njia ipi kuwapata?
Wangwe:- sisi lengo letu ni kupata katiba mpya.... mtandazaji anamkatiza
Mtangazaji:- Swali langu nataka utusaidie namna ya kuwapata watu wa kufanya kazi ambayo kwa sasa wanaifanya MADED
Wangwe: Tunao ushaidi na tumeutoa mahakama MADED ni makada wa CCM
Nani anaweza kumsaidia Wangwe kujibu swali hili
ila kiukweli hao ndio wanaofaaWaliohitimu na Wako mtaani wataiuza inji alfajiri kabla ya kuamka
sasa kwa mtazamo wangu hakuna watu wengine wenye kufaa na kutosheleza hilo hitajilongi mapexa, anaona kama walimu wengi ni CHADEMA
sasa kwa mtazamo wangu hakuna watu wengine wenye kufaa na kutosheleza hilo hitajilongi mapexa, anaona kama walimu wengi ni CHADEMA
nawadharau sana ccm tangu wajaze makada wao kwenye bunge la katiba hakika nawadharau sana! walianzisha mchakato mrefu namna ile kumbe hawakuwa wanamanisha?Mkurugenzi wa NEC mwenyewe. Hapa tumekata matawi tu,steam na mizizi bado
"longi mapexa, unawezaje kumjua mtu ambaye hana uelekeo kisiasa? Hii ndiyo changamoto. Wenye akili fupi wameenda mahakamani wakaomba wakapata walichoomba- ila nchi zima tumebaki na swali tunawapataje mbadala wao- yaani watu wasio wanasiasa wasimamie uchaguzi wa wanasiasasasa kwa mtazamo wangu hakuna watu wengine wenye kufaa na kutosheleza hilo hitaji