MBOKA NA BISO JF-Expert Member Joined Jan 31, 2025 Posts 714 Reaction score 790 Jun 27, 2026 #1 Jamani, naulizia wapi wanauza bodi za Landcruiser,specificary Prado TX. Nimeambiwa Mchikichini, ila kila nikiuliza naambiwa hiyo sehemu hakuna wauzaji wa hivi vitu. Na binafsi sipajui. Naomba mwenye uzoefu anijuze
Jamani, naulizia wapi wanauza bodi za Landcruiser,specificary Prado TX. Nimeambiwa Mchikichini, ila kila nikiuliza naambiwa hiyo sehemu hakuna wauzaji wa hivi vitu. Na binafsi sipajui. Naomba mwenye uzoefu anijuze
Offshore Seamen JF-Expert Member Joined Mar 9, 2018 Posts 6,011 Reaction score 15,531 Jun 27, 2026 #3 Zipo Tandale na Big brother unataka ya mwaka gani
MBOKA NA BISO JF-Expert Member Joined Jan 31, 2025 Posts 714 Reaction score 790 Jun 27, 2026 Thread starter #4 Offshore Seamen said: Zipo Tandale na Big brother unataka ya mwaka gani Click to expand... Big brother ni wapi mkuu? 2017
Offshore Seamen said: Zipo Tandale na Big brother unataka ya mwaka gani Click to expand... Big brother ni wapi mkuu? 2017
Offshore Seamen JF-Expert Member Joined Mar 9, 2018 Posts 6,011 Reaction score 15,531 Jun 29, 2026 #5 MBOKA NA NGAI said: Big brother ni wapi mkuu? 2017 Click to expand... Natuma meseji kwenye PM yako imagoma nicheki kuna jamaa yangu anazo hizo body
MBOKA NA NGAI said: Big brother ni wapi mkuu? 2017 Click to expand... Natuma meseji kwenye PM yako imagoma nicheki kuna jamaa yangu anazo hizo body
Mamaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 5,287 Reaction score 4,843 Jun 30, 2026 #6 Nenda tandale, pita habarabara ya tandale uzuri, kuna yard za kutosha hiyo njia kunazia magomeni mpaka sinza
Nenda tandale, pita habarabara ya tandale uzuri, kuna yard za kutosha hiyo njia kunazia magomeni mpaka sinza