dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,937
- 8,358
Eee bhana eeeWakuu hivi anaitwaje huyu manzi!? Anapatikana pande zipi!?
Kuna project nataka nimuunganishe.View attachment 477863View attachment 477865View attachment 477866
Mmmh wa kawaida sana Mkuu ila tunatofautiana macho kodo[emoji4][emoji102] Mkali ile mbaya huyu demu
Mtafute Hanscana Khalfan au Ben Pol,utampata but kwa jina cmjuwagiWakuu hivi anaitwaje huyu manzi!? Anapatikana pande zipi!?
Kuna project nataka nimuunganishe.View attachment 477863View attachment 477865View attachment 477866
[emoji3] Mkuu co vizur magonjwa mengi kuchepuka ......Utaacha tu pale utapo pata wako mzurii na Ukatulia naeEee bhana eee
Tutaacha kuchepuka kweli
duh[emoji3] Mkuu co vizur magonjwa mengi kuchepuka ......Utaacha tu pale utapo pata wako mzurii na Ukatulia nae
Ni nouma![emoji102] Mkali ile mbaya huyu demu
Tutaachaje kwa mfano!Eee bhana eee
Tutaacha kuchepuka kweli
Mtoto mkaree mkuuMmmh wa kawaida sana Mkuu ila tunatofautiana macho kodo[emoji4]
Weka picha ya manziakoHamfikii manzi angu hata robo
Hapo sasaTutaachaje kwa mfano!
Mkuu hao sidhani kama watanisaidia maana nao lazima wanamtaka tu!Mtafute Hanscana Khalfan au Ben Pol,utampata but kwa jina cmjuwagi
Mkuu wewe unamuonaje lkn!!? weka kando mambo ya wivu na ushabiki, unamuonaje!!?Ha ha ha.... Wanaume bhn
Tuheshimiane mkuuUzuri wa jf bana,unawezakuta ni yeye anajipa promo!
Mkuu manzi mkaree aiseeMbona uzuri wake Mimi Siuoni. Wanaume Bwana! Hata ukichonga mbao kwa sura ya mwanamke na ukaipaka lipstick wao wanavimbisha suruali sehemu ya zipu!!!