Mkuu sokwe thanks kwa kunishusha presha, mi si ndo nkadhani OD ni vifupisho vya currency za madolla ya kidhungu,maana nusura niuze kibanda changu na kuanza kupanga mchakato wa kumtafuta huyu jamaa ninunue maana hili gari nalipenda balaa, pamoja na lile la Hyundai ix 35. Huwa yananitia wazimu.
Ni gari nzuri kwakweli hasa kwa wenye pesa zao, nililiona kwa mara ya kwanza mwaka 2008 nchini italy, niliambiwa pia inakula lita 1 ya diesel kwa kila km 4! sijuwi ni kweli sija-google