Car4Sale BMW X5 namba “E” iko sokoni kwa bei sawa na bure

Car4Sale BMW X5 namba “E” iko sokoni kwa bei sawa na bure

darautobroker

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2020
Posts
394
Reaction score
355
Bei/Price TSH 19.8M
Call +255 747 999 927

BMW X5(EDU)

Year: 2007
Engine: 2990Cc
Mileage: 93,000+
Fuel Used: PETROL

Transmission: AUTO

Fog Lights
Push To Start
Panoramic Roof

Clean Interior
In Mint Condition
Exchange Possible

IMG-20250810-WA0145(8).jpg
IMG-20250810-WA0128(4).jpg

IMG-20250810-WA0144(8).jpg
IMG-20250810-WA0129(4).jpg
 
Attachments

  • IMG-20250810-WA0147(6).jpg
    IMG-20250810-WA0147(6).jpg
    80.7 KB · Views: 17
  • IMG-20250810-WA0140(7).jpg
    IMG-20250810-WA0140(7).jpg
    621.7 KB · Views: 19
Bei/Price🏷️👉🏾TSH 19.8M
Call📞+255 747 999 927

BMW X5(EDU)

Year: 2007
Engine: 2990Cc
Mileage: 93,000+
Fuel Used: PETROL

Transmission: AUTO

✨Fog Lights
✨Push To Start
✨Panoramic Roof

✅Clean Interior
✅In Mint Condition
✅Exchange Possible

View attachment 3478938View attachment 3478939
View attachment 3478941View attachment 3478942
Mkuu ndani ya mwezi mmoja gari imeshuka toka milioni 28.8 mpaka milioni 19.8 zaidi ya milioni 9 imepungua? Kuna shida gani? Au bei moja imekosewa?

Mkuu ndani ya mwezi mmoja gari imeshuka toka milioni 28.8 mpaka milioni 19.8 zaidi ya milioni 9 imepungua? Kuna shida gani? Au bei moja imekosewa?

Boss kalewa...tajiri kavurugwa mkuu😄
 
Mkuu ndani ya mwezi mmoja gari imeshuka toka milioni 28.8 mpaka milioni 19.8 zaidi ya milioni 9 imepungua? Kuna shida gani? Au bei moja imekosewa?

Boss kalewaa, anauza BMW kwa bei ya kutupa.
😂😂😂😂😂😂
 
Mafundi wazuri hakuna, kuna x5 moja kama hiyo jamaa aliagiza imefika tu ndani ya miezi miwili akawa ashaichoka service. Hizi gari ni nzuri kwa wenye vipato vikubwa ila sio kwa akina sisi pangu pakavu.
Niliuliza kwa sababu mara nyingi Tanzania ukisikia wanalalamika hili gani halifai kwa sababu ya service mara nyingi unakuta tatizo ni uwezo wa kifedha wa mmiliki. Yaani unataka anataka afanye service za kimagushi tena kwa mafundi wa uchochoroni. Mara nyingi sisi huwa tunadhani gharama ya kumiliki gari ni ile bei ya kununulia bila kujua gharama za uendeshaji pia zipo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom