Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,988
- 9,213
mara ya mwisho niliona ni 19m
Au km 410 kwa mwezi.Wadau naomba kujua inawezekanaje gari ina miaka 18 duniani halafu mileage iwe 93K?
Sawa na wastani wa kutembea Km 5,000 kwa mwaka?
Ni marufuku kununua European car iliyozidi miaka 10.Mafundi wazuri hakuna, kuna x5 moja kama hiyo jamaa aliagiza imefika tu ndani ya miezi miwili akawa ashaichoka service. Hizi gari ni nzuri kwa wenye vipato vikubwa ila sio kwa akina sisi pangu pakavu.
Wengi hawaelewi hilo, kuna jamaa walikuwa wanadili na services za European cars tu nilishuhudia mengi sana. Hizo gari kukufilisi ni kugusa tu, BMW, VW, RANGE, BENZ.Ni marufuku kununua European car iliyozidi miaka 10.
Upo sahihi mkuu, gharama za kumiliki hizi gari ni za kawaida ila kulihudumia ndio mtihani mkubwa kwa wengi. Kuna mtu anataka ajichanganye vibaya sana nimeshamshauri mpaka nimechoka na maisha yake ya kipato kwa kiasi fulani nayajua. Anazipenda sana Bmw na ndio anataka iwe gari yake ya kwanza, acha ajifunze kwa makosa.Niliuliza kwa sababu mara nyingi Tanzania ukisikia wanalalamika hili gani halifai kwa sababu ya service mara nyingi unakuta tatizo ni uwezo wa kifedha wa mmiliki. Yaani unataka anataka afanye service za kimagushi tena kwa mafundi wa uchochoroni. Mara nyingi sisi huwa tunadhani gharama ya kumiliki gari ni ile bei ya kununulia bila kujua gharama za uendeshaji pia zipo.
Same 2019 naanza miliki BMW niliona jamaa flani anaanza kudeal naizo gari. Jamaa garage local tu. Nikimtaja humu lazima kuna watu washawahi onana nae. Enzi izo ukimuambia gari ina ishu anakuja kwako yeye mwenyewe.Wengi hawaelewi hilo, kuna jamaa walikuwa wanadili na services za European cars tu nilishuhudia mengi sana. Hizo gari kukufilisi ni kugusa tu, BMW, VW, RANGE, BENZ.
Kuna dada alimsusia fundi Bmw x1, kila baada ya siku chache ni vipengele ila kwa road zipo vizuri.
Ukisikia siku hizi napush mazda redwine ndio kwa namna hii 😂Same 2019 naanza miliki BMW niliona jamaa flani anaanza kudeal naizo gari. Jamaa garage local tu. Nikimtaja humu lazima kuna watu washawahi onana nae. Enzi izo ukimuambia gari ina ishu anakuja kwako yeye mwenyewe.
Jamaa imempa utajiri. Sahivi anamiliki garage kubwa sana. Ana team yaani organized kabisa. Ukifika hauonani nae, unaanza reception, kisha wafanyakazi wengine.
Sahivi nimeona tena kwa wanaodeal na Mazda. Nao wanakua matajiri soon.
View attachment 3480372
Nje ya Mada. Ile sedan white ni gari gani?
Push to arrive au push to start?Ukisikia siku hizi napush mazda redwine ndio kwa namna hii 😂
Hiyo nadhani ni Audi A4 japo inaonekana kwa taabu sana.
Hiyo n push to arrivePush to arrive au push to start?
Haina Shida Ila Mwenye Gari Ndio Mwenye Uhitaji Wa HelaMkuu ndani ya mwezi mmoja gari imeshuka toka milioni 28.8 mpaka milioni 19.8 zaidi ya milioni 9 imepungua? Kuna shida gani? Au bei moja imekosewa?
Car4Sale Thread 'BMWx5 bado inanukia upya'
Bei/Price TSH 28.5M
Call+255 747 999 927
BMW X5(EDU)
Year: 2007
Engine: 2990Cc
Mileage: 93,000+
Fuel Used: PETROL
Transmission: AUTO
Fog Lights
Push To Start
Panoramic Roof
Clean Interior
In Mint Condition
Exchange Possible
![]()
![]()
![]()
![]()
- darautobroker
- bmw bmw x5
- Replies: 13
- Forum: Matangazo madogo