BMW mpya sokoni

BMW mpya sokoni

Gari ni ya model 2006, yaani ina umri wa miaka 12 kisha heading yako inasema BMW MPYA!
Au neno mpya umelitumia kumaanisha nini?
Ni MPYA...

ila HAIJATUMIKA SANA...

Dah, kiswahili kigumu kwa kweli..
 
Ni MPYA...

ila HAIJATUMIKA SANA...

Dah, kiswahili kigumu kwa kweli..
Unaposema "haijatumika sana" ina maana unakubali kua imeshatumika,sasa kama imeshatumika itakuwaje tena mpya? Ni bora ungeandika ipo katika hali nzuri kuliko kusema ni mpya,


Anyway,good luck mkuu,uuze hiyo gari.
 
Unaposema "haijatumika sana" ina maana unakubali kua imeshatumika,sasa kama imeshatumika itakuwaje tena mpya? Ni bora ungeandika ipo katika hali nzuri kuliko kusema ni mpya,


Anyway,good luck mkuu,uuze hiyo gari.
Sie mimi ninayeuza, nilikuwa nakazia maono yako![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama kuna bmw nimetokea kuipenda ni bmw X1. Ni gari yenye mvuto sana si kubwa sana ila mkunjo wa body unavutia sana na fuel efficiency ni 100/100!
 
Hyo gari kwa mio 23 kuuza utauza mwakani. Anzia 15 kushuka chini hiyo
 
Sionagi ufahari wa kuwa na gari zuri alafu inakula mafuta. Noanaga ulimbukeni tu

Vipi mkuu, unataka inywe supu au mchemsho?
Ukiona unaanza kuwabeza wenzio eti in malimbukeni kwa sababu ya bei za vitu au kwa sababu ya kumiliki kitu Fulani, basi jua wewe siyo mlengwa wa hilo tangazo. Pita kushoto.
 
By the time itakuwa kama x5 ya sasa, watu watakuwa na x7
Life is not fair

Bora awe nalo na awe analitumia asije kuliweka ndani kama pambo maana Daimond kaishia kulipaki tu haonekani kulitumia maaana linakunywa mafuta kama limeagizwa kuja kukufilisi.
 
Back
Top Bottom