Magazetini
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 593
- 1,713
mkuu vipi spares zake hazisumbui? gari nzuri hebu nipe mawili matatu ugonjwa wake ambao ni common tunaweza kufanya biashara fasta
Boss hiyo sio ghali ebu ulizia taa ya forester 2005 kama hawajakuambia 1.5mGari bado ipo? Kwa nijuavyo spea zake ni too expensive....mfano hiyo taa ya mbele ikipasuka inabidi niwe na laki 4.5..majanga
Mkuu 3 Series model ipi namba ngapi? 320! 328 318 316? halafu model gari ya mwaka gani hiyo? na km imekata ngapi?
moja ya gari ngumu sana duniani hii kitu,nimetumia miaka kama 5 hivi 3 series 328 zaidi ya kubadili oil na filter hata plag sijabadili kwa kipindi chote labda tairi tu
Gari bado ipo? Kwa nijuavyo spea zake ni too expensive....mfano hiyo taa ya mbele ikipasuka inabidi niwe na laki 4.5..majanga
Control box....ni mtihani,na mambo ya umeme kwa ujumlamkuu vipi spares zake hazisumbui? gari nzuri hebu nipe mawili matatu ugonjwa wake ambao ni common tunaweza kufanya biashara fasta
Veper sisi wa kutia kiwese cha alfu kumiii[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mkuu,
Hizi gari issue sio spares tena. Zipo na kama hazipo zinagizika bila matatizo. Matatizo yake mengi yanatabirika. Ikichomekwa kwa computer inakupa report ya kila kitu mpaka lini break zako zitakwisha baada ya km ngapi.
Mimi bahati nzuri nimebahatika kupata mtu mmoja fundi mhindi ana bei nzuri sana na amesomea kabisa haya mambo na ndio mtu peke anayeshika hiyo gari, nakuunganisha naye mnaendelea. Na mimi pia nitakupa support kila mara unapohitaji msaada. Na mimi nanunua ingine kama hiyo miaka ya karibuni.
Ni gari ambayo ukitunza na yenyewe itakutunza haswa. Na ukianza endesha hizi gari huwezi rudi tena Toyota.
Lipo mkuu, karibu...Mkuu mwenye tangazo hii gari bado unayo?
People who buys these cars are too rich to buy mtumba
Tuongee MkuuTunasubir ifike hata 9m