BMTL vacanvy

BMTL vacanvy

Hv wanauza nini hao wahindi? Si ndio wapo pale victoria jengo la pink karibu na wang'oa kucha na meno.
 
kazi gani haina anuani au ndo wale wa hlssf wamerudi tena???
 
kufanya kaz na wahindi inabid uwe na dhiki vinginevo itakushinda mshahara sisimizi kaz tembo mazingira duni masharti kibao hakuna ubunadamu hawa watu Tz wasepeshwe
 
kufanya kaz na wahindi inabid uwe na dhiki vinginevo itakushinda mshahara sisimizi kaz tembo mazingira duni masharti kibao hakuna ubunadamu hawa watu Tz wasepeshwe

Ha haa haaa,hii comment imenichekesha
 
Kufanya kazi na hawa jamaa,ni bora nikalime mtama kijijini....***majanga$$$$$
 
hivi salary ya ass/ accountant inaeza kuwa sh ngap...kuna ndugu yangu kaitwa
 
Mkoa gani sasa level of education? Hii imekaa kizushi
 
hawa wazuri sana kufanya nao kazi kina masawe Exim wamewaliza pale kimnya kimnya maana nao ni wezi tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom