BMLS in Microbiology, BMLS in Parasitology

Geniustin

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
4,380
Reaction score
2,843
Wakuu, naomba msaada na ufafanuzi wenu kuhusiana na hizi kozi zinazotolewa MUHAS (Muhimbili University).

Wakuu nina ndugu yangu amechaguliwa kusomea Degree ya Maabara ya Microbiology (Bachelor of Medical laboratory sciences in Microbiology).

Sasa anaomba ushauri juu ya hii Kozi kwa wanaoijua ama waliyoisomea.

Msaada kwake kwa sababu mimi nimezoea ile BACHELOR OF MEDICAL LABORATORY SCIENCES. Sasa hizi za Specialist sijazijua kwa undani.

Msaada kwake kwa Mwangaza zaidi. Ili kama vipi aone jinsi ya kubadili aende hata Parasitology ama Haematology ama Histopathology ama BMLS GENERAL etc.
 
Akifika aende abadili asome general..mana inagusa zote hizo ila sio kwa upana sana..
 
Wakuu, naomba msaada na ufafanuzi wenu kuhusiana na hizi kozi zinazotolewa MUHAS (Muhimbili University).

Wakuu nina ndugu yangu amechaguliwa kusomea Degree ya Maabara ya Microbiology (Bachelor of Medical laboratory sciences in Microbiology).

Sasa anaomba ushauri juu ya hii Kozi kwa wanaoijua ama waliyoisomea.

Msaada kwake kwa sababu mimi nimezoea ile BACHELOR OF MEDICAL LABORATORY SCIENCES. Sasa hizi za Specialist sijazijua kwa undani.

Msaada kwake kwa Mwangaza zaidi. Ili kama vipi aone jinsi ya kubadili aende hata Parasitology ama Haematology ama Histopathology ama BMLS GENERAL etc.
Kama anataka kubadili basi aende General.
Ila kwa izo specialized part asome iyo iyo Micro ipo poa sana.
 
Akishamaliza, huko hospitalini anafanya kazi kama BMLS General tu.Hizo specialization haziharibu chochote.
Source: Mdogo wangu kamaliza BMLS Hematology hapo mwaka juzi
 
Ina maana hata hizo Specialist wanafundishwa na idara zingine kimtindo????
 
Mkuu, kama hautojali...Naomba namba ya mdogo wako hata PM. Nimuulize maswala mawili matatu.

Please.
 
Ina maana hata hizo Specialist wanafundishwa na idara zingine kimtindo????
Wanasoma pamoja wote kasoro 3rd year ndo wanatengana, na akienda internship atakuwa treated kama BMLS general bila kujari speciality yake
 
Back
Top Bottom