Blundering

Sputam

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
600
390
Heshima kwenu wakuu
Napenda nikatumie PVC board za China badala ya Gypsum board kwenye nyumba yangu ya kuishi
Mwenye experience na hizi board naomba anishauri kipi bora ingawa mimi napenda sn muonekano wa Pvc board
 
Back
Top Bottom