Kwa muda nimekua nikisaka bluetooth typing keyboard nzuri, kiasi kwamba nikiingia kwanye maduka ya vifaa hivyo wakiniona tu wananiambia "Keyboards hazipo". Mara nyingine nimejaribu kununua keyboard flan halaf sikuridhika.
Kila mara nimewapa challenge kuwa hawaleti keyboard nzuri sokoni. Majibu yao daima ni kwamba wakinunua keyboard nzuri zinakua bei juu na mzigo hautoki. Sehemu nyingine nikienda nakuta keyboard za kawaida wanauza bei ya kufa mtu.
Juzijuzi nimejaribu kununua mtandaoni kutoka China. Ali-express. Process ilikua rahisi sana. Nimetumia Airtel Money kupata virtual Master Card. kwa kupiga *150*60# kisha 6, halafu 1.
Nikaongeza salio, nikalipa, nikapata ujumbe kuwa mzigo unakuja na utafikia Posta, ila wakanionya kuwa, mzigo unaweza kuchelewa kidogo kwasababu ya masuala ya Corona.
Nikapata track number, nikaanza kufatilia mzigo. Umechukua siku 28. Siku ya siku nimeenda Posta nimechukua mzigo wangu kiulaiiiiini kabisa.
Nimeipenda keyboard hii maana inaweza kuunganishwa kwenye vifaa vitatu, na unaweza kuihamisha toka kifaa hiki kwenda kingine kwa kubonyeza kitufe kimoja tu. Kwa mfano naitumia kwenye computer yangu, na mesg ikiingia kwenye simu, nabonyeza kitufe kimoja tu, inahamia kwenye simu, najibu mesg, nikimaliza nabonyeza kitufe inarudi kwenye laptop na kazi inaendelea. Pia ni portable, ingawa ina kauzito kidogo ukilinganisha na nyingine
Kwa mfano hapa unaweza kuona, ina gram 416
Ukilinganisha na huyu Kariakoo wangu ambaye ana gram 258
Pia urefu na upana inalingana kidogo na huyu Kariakoo mweupe (Kama wewe ni mtu wa kusaka keyboards hizi utakua umeshaziona)
Imenichukua kamuda kadogo kuzoea keyz za round, lakini baada ya hapo, nimeona ni nzuri zaidi. Pia keyz zake ni laini, halafu haina kelele yoyote, haifanyi makosa kama hiyo nyeupe "Kariakoo"
Unaweza pia kuangalia video youtube Click hapa
Au Hapa